Umeshawahi Kununiwa Bila Sababu ya Msingi?

Sasa mkuu,kama huyo shemeji ye2 humpigi mashine vzr,unategemea yey afanyaje zaidi ya kukununia...??piga mashine vzr uone maresult yake..
 
Kwa Hiyo akileta Ukauzu na unaweka Ukauzu ( Joking). Nadhani kuna haja kubwa ya kuwaelewa hawa Viumbe kuna siku Amenuna Siku mbili Badye nikamuuliza Kwa Upole ni nini hasa kilichokufanya uninue for two Days, jibu alilolitoa lilinishangaza sana " Aliniacha nimelala akarudi jioni akakuta Sijatandika Kitanda" Dah nilichoka
Hapo kwenye RED,nimecheka sana....ahahahahahahahahahahahahaha
Mimi juzi juzi tu ameninunia siku mbili kuja kumuuliza kwanini ameninunia.... ananiambia alikuwa anataka kubembelezwa tu......hata kama amenuna bila sababu.
 
Mkuu Hapo Umeweka Suala la msingi sana " Communication in Marriage' very important nadhani Couple nyingi huwa haziwasiliani katika Marriage zao.

Thanx and Your Experience is noted
 
Inaonekana mke wako ni mpole kiasi cha kutokwambia yanayomuudhi, inaonyesha kuna mambo huwa unamuudhi ambayo wewe mwenyewe unaelewa na kwa usioyaelewa unaendelea kula adhabu,

ushauri; Mzoeshe kuwa muwazi.
 
Mkuu dawa ya mtu akinuna bila sababu mbona ndogo sana.. ..kama siku hiyo kuna umeme.. weka mkanda wa Harusi..halafu onyesha dalili eme-concentrate na ile sehemu ya mawaidha ya wazazi.. unforward..una rewind..unaforward..unarewind... Kama hakuna umeme..cheza na album..unangalia picha..unazirudia..rudia...akiuliza unajibu..unajikumbusha jinsi ya kumfurahisha mke..
 
Kila anaenuna ana sababu. Unaiona si ya msingi kwa vile hujafanyiwa wewe. Muulize kwa upendo tu kilichomfanya anune naye atakueleza,jishushe,omba radhi atakuwa normal again. Tujali feelings za wenzetu sio unakuta mwenzio kanuna we unaomba game!
 
Kwa Hiyo akileta Ukauzu na unaweka Ukauzu ( Joking). Nadhani kuna haja kubwa ya kuwaelewa hawa Viumbe kuna siku Amenuna Siku mbili Badye nikamuuliza Kwa Upole ni nini hasa kilichokufanya uninue for two Days, jibu alilolitoa lilinishangaza sana " Aliniacha nimelala akarudi jioni akakuta Sijatandika Kitanda" Dah nilichoka

Hahahahaaaa, hii ndiyo ilimfanya anune siku mbili nzima?
Kazi ipo..
 
Mm wife akinuna huwa nasikilizaga country music kwa sauti ya juu "don william "kwa sana mpaka sasa hathubuti kununa sababu nyumba inageuka ukumbi gafla !
 
Mm wife akinuna huwa nasikilizaga country music kwa sauti ya juu "don william "kwa sana mpaka sasa hathubuti kununa sababu nyumba inageuka ukumbi gafla !
Hii sasa ni kubwa kuliko duh......
Dah kuwa uyaone...na wala si maghorofa.......maisha ya ndoa.Ndoa tamu sana.....ahahahahhaahh
 
Mkuu ktk mahusiano hiyo hutokea, wanawake huitaji faraja sana, wanadeka na wanaitaji care sana! Wanapokosa lazima unune!
 
Mwenzenu nikiri tu................kuna siku fulafulani mara nyingi siku moja kabla ya tarehe ya kupokea ile mishahara yetu ya kike
huwa nakuwa na hasira zisizo mfano......bila sababu yoyote...........................

Yaani najisikia hasira tu............kitu kidogo to kwangu kero...................sikawii kudondokwa na mchozi....................
unaweza ukafikiri kuna kosa umenifanyia......................kumbe wapi.....................

Mpaka wakati mwingine najistukia mwenyewe..............nikishakumbuka sababu(ambayo sasa wanaokuzunguka hawaioni)........najitahidi kujizuia...........................ila ni ngumu sana.

Sasa pengine huyo mwenza wako yuko kwenye same boat,.........................msome taratibu unaweza kugundua........................

Kama tatizo ni hilo...............mi hata sijui dawa yake.......................labda usiwe tu mkali kwake...............ongea naye kwa upole.......
 
hahaha,tena umenikumbusha issue za kutandika kitanda,kesho nshapata sababu ya kununa! jamani msituseme sana, kuna wakaka wanajua kununa,afu tabu yenu hamjui hata kushusha kioo kidogo! mi ukininunia nakubembeleza kidogo nikona huelekei najiweka busy na raha zangu hadi utaona wivu tu uni-join,lol!

Kwa Hiyo akileta Ukauzu na unaweka Ukauzu ( Joking). Nadhani kuna haja kubwa ya kuwaelewa hawa Viumbe kuna siku Amenuna Siku mbili Badye nikamuuliza Kwa Upole ni nini hasa kilichokufanya uninue for two Days, jibu alilolitoa lilinishangaza sana " Aliniacha nimelala akarudi jioni akakuta Sijatandika Kitanda" Dah nilichoka
 
Weeh cheka tu uache kuongeza kipimo cha mabembelezo! kwani kubembeleza sh ngapi jamani! ukimuona mtu kanuna charm her up, pet kiduchu and the flame keeps burning! una-turn ur light down low, and pull ur window curtains uuuh aaah!

Hapo kwenye RED,nimecheka sana....ahahahahahahahahahahahahaha
Mimi juzi juzi tu ameninunia siku mbili kuja kumuuliza kwanini ameninunia.... ananiambia alikuwa anataka kubembelezwa tu......hata kama amenuna bila sababu.
 
MÃ* mwenyewe huwa na katabia hako kakununa ninapokuwa karibu na mambo yetu but huwa inaisha pale ninapokumbatiwa tu huwa najihis kujaliwa.
 
MÃ* mwenyewe huwa na katabia hako kakununa ninapokuwa karibu na mambo yetu kumbe wengi!Nina dadaangu huyo ndo zake,siku ukienda kwake ukimkuta kanuna hata maji usiombe,anaweza kukurushia yakiwa kwenye glass! Ni mara chache sana huwa hivyo lakini hiyo siku huwa ngumu kwa hausgel maana nae ananuniwa! Wanae ndio watakula kichapo bila sababu,ni Afande,huko kazini cjui inakuaje.Nahisi ni kaugonjwa!
 
Back
Top Bottom