Umeshawahi Kununiwa Bila Sababu ya Msingi?

Jul 13, 2011
48
14
Jamani wapendwa habari zenyu

Nadhani baadhi yenu mnaishi katika Ndoa na wengine mna Boy/Girl Friends. Mimi binafsi nina Miaka mingi sana na Shemeji/Wifi yenu Zena. katika Maisha yetu Kuna siku unaweza Ukashangaa tu Amekasirika, Amenuna, Hataki kuzungumza, Nikijaribu kutafakari ni wapi Nimemkwaza sipati jibu basi nabaki Mnyonge tu.

Walio kwenye mahusiano Je Mnaexperince the same je Mnafikiri ni Kwa nini na Nini Mtu unatakiwa kufanya unapoface situation kama hiyo. Let us share experince and solutions so as kudumisha Mahusiano yetu
 
Haya yapo sana
tatizo sio kutafuta wapi ulipokosea ila tafuta njia ya kusolve hhilo tatizo ili umfurahishe
Wengine hata kipindi hicho ulete zawadi unaweza rushiwa machoni au uombe game unaweza kupigwa na mwiko
Ni hali tuu kwao na anaona raha akikuona unavyohangaika kutafuta sababu za kwa nini amenuna
 
Mkuu unawezaje kutafuta Suluhisho bila kujua Tatizo ni nini? Jamani wadada/wamama naombeni majibu yenu! Yaani mnarudi Kazini mnafika Nyumbani Mtu kanuna, ukimuuliza anasema hakuna Ishu

Tatizo nini?
 
Dah...nilifikilia mke wangu ndio anapenda kununa saaaaana...kumbe,kua uyaone...ahahahaha pole sana mkuu...wataalamu wa mambo wanasema hao ndio walivyo haswa wakikaribia zile siku zao...''mood swings'' za kutosha.....akikununa mimi uwa nacheka sana....kisha na mwambia ukweli kuwa yupo kwenye moods ili ajue anafanya sio.
 
Kweli Dr. Bila sababu ya msingi? wewe hiyo unayoiona si ya msingi inawezakuwa kubwa kuliko unavyodhania!!
Mie nilishawahinuniwa kwa kuwa tu chumvi jikoni imekwisha nikaambiwa mimi (mama) na si yeye (baba).................basi nawe usinune eti kwa kuwa huioni sababu ya msingi, zungumza naye ujue tafsiri yake ya sababu ya msingi!
 
ha ha ha Nadhani Wadada/Wamama wapo hapo watatusaidia namna ya Kureact kisahihi katika situation kama hizo
 
Kweli Dr. Bila sababu ya msingi? wewe hiyo unayoiona si ya msingi inawezakuwa kubwa kuliko unavyodhania!!
Mie nilishawahinuniwa kwa kuwa tu chumvi jikoni imekwisha nikaambiwa mimi (mama) na si yeye (baba).................basi nawe usinune eti kwa kuwa huioni sababu ya msingi, zungumza naye ujue tafsiri yake ya sababu ya msingi!

Asante MwanajamiiOne, Nimefurahi kupata response kutoka kwa Mmama/Mdada! Labda nimetumia neno ambalo si sahihi ( Bila ya Sababu). Ila nimeupenda huo Mstari niliouweka rangi ya Blue
 
Dr.we ndio ungetuambia kwanini inakuwa hivo,hao viumbe wanaendeshwa na homones kila leo level zinabadilika nyingine zinapanda na nyingine zinashuka na hiyo moja kwa moja inaathiri mood yake,akinuna mchukulie poa tu usimchukie ila msaidie sio yeye
 
Ha ha ha Mkuu nimeamua kuindia kwa Undani zaidi katika hiyo Nyanja na nataka kuandika paper sasa najaribu kukusanya Experience tofauti kwa hiyo Unakaribishwa kuchangia mawazo yako na Paper ikikamilika nitaiweka hapa jamvini
 
Kama amenuna bila sababu mwache mpaka atakapoona anaweza kuongea!
 
lol! usiombe gemu jikoni basi manake akikosa mwiko asije akakutungua na sufuria
Haya yapo sanatatizo sio kutafuta wapi ulipokosea ila tafuta njia ya kusolve hhilo tatizo ili umfurahishe Wengine hata kipindi hicho ulete zawadi unaweza rushiwa machoni au uombe game unaweza kupigwa na mwikoNi hali tuu kwao na anaona raha akikuona unavyohangaika kutafuta sababu za kwa nini amenuna
 
Jamani wapendwa habari zenyu

Nadhani baadhi yenu mnaishi katika Ndoa na wengine mna Boy/Girl Friends. Mimi binafsi nina Miaka mingi sana na Shemeji/Wifi yenu Zena. katika Maisha yetu Kuna siku unaweza Ukashangaa tu Amekasirika, Amenuna, Hataki kuzungumza, Nikijaribu kutafakari ni wapi Nimemkwaza sipati jibu basi nabaki Mnyonge tu.

Walio kwenye mahusiano Je Mnaexperince the same je Mnafikiri ni Kwa nini na Nini Mtu unatakiwa kufanya unapoface situation kama hiyo. Let us share experince and solutions so as kudumisha Mahusiano yetu

hawa viumbe vigumu sana kuwaelewa mkuu.. mi nawasoma kila siku na sijaweza kuwaelewa hata nukta

kuna kitu wewe unaweza ukaona sio ishu kumbe mwenzio kimemuingia mpaka moyoni na unamkuta kanuna week nzima ndio kawaida yao hiyo, unajinyenyekeza siku zinasogea
 
hiyo lunch uliyokula leo inakufaa sana kwa afya ya akili kwa kweli! umemaliza!mtoa mada, muulize kwa utaratibu ukisema kwa ukali mambo utayaharibu (wimbo wa njiwa-taarab). otherwise,be humble atakapojiskia ataongea! mpe space/nafasi
hakuna anae nuna bila sababu...na sio kila mtu anaweza kusema yalio muudhi
 
hiyo lunch uliyokula leo inakufaa sana kwa afya ya akili kwa kweli! umemaliza!mtoa mada, muulize kwa utaratibu ukisema kwa ukali mambo utayaharibu (wimbo wa njiwa-taarab). otherwise,be humble atakapojiskia ataongea! mpe space/nafasi

Kwa Hiyo akileta Ukauzu na unaweka Ukauzu ( Joking). Nadhani kuna haja kubwa ya kuwaelewa hawa Viumbe kuna siku Amenuna Siku mbili Badye nikamuuliza Kwa Upole ni nini hasa kilichokufanya uninue for two Days, jibu alilolitoa lilinishangaza sana " Aliniacha nimelala akarudi jioni akakuta Sijatandika Kitanda" Dah nilichoka
 
hawa viumbe vigumu sana kuwaelewa mkuu.. mi nawasoma kila siku na sijaweza kuwaelewa hata nukta

kuna kitu wewe unaweza ukaona sio ishu kumbe mwenzio kimemuingia mpaka moyoni na unamkuta kanuna week nzima ndio kawaida yao hiyo, unajinyenyekeza siku zinasogea
Hapo kwenye RED Nimecheka sana...Hawa uwezi kuwaelewa hata siku moja...utasoma vitabu,encyclopedia zote na vitabu vya dini vyote hauwezi kuwaelewa.....hawana formula maalumu....mwingine ananuna ili kupata ''attention'' yako,mwingine ndio ivyo ''moods''zimemjaa....mwisho wa siku hizi moods uwa ugonjwa kabisa yani kisaikolojia wanaita ''moods disorder''
 
Back
Top Bottom