Umeshawahi Kununiwa Bila Sababu ya Msingi?

MÃ* mwenyewe huwa na katabia hako kakununa ninapokuwa karibu na mambo yetu but huwa inaisha pale ninapokumbatiwa tu huwa najihis kujaliwa.
 
Jamani wapendwa habari zenyu

Nadhani baadhi yenu mnaishi katika Ndoa na wengine mna Boy/Girl Friends. Mimi binafsi nina Miaka mingi sana na Shemeji/Wifi yenu Zena. katika Maisha yetu Kuna siku unaweza Ukashangaa tu Amekasirika, Amenuna, Hataki kuzungumza, Nikijaribu kutafakari ni wapi Nimemkwaza sipati jibu basi nabaki Mnyonge tu.

Walio kwenye mahusiano Je Mnaexperince the same je Mnafikiri ni Kwa nini na Nini Mtu unatakiwa kufanya unapoface situation kama hiyo. Let us share experince and solutions so as kudumisha Mahusiano yetu
Dr Pimbi,
Kuna siku nilikuwa na shemej yako Betina pamoja na Rafiki yake na Boyfriend wa rafiki yake ambaye ni mshikaj wangu nyumban kwa mshikaj, mie nikatoka kidogo kwenda kununua Vocha Dukani, wakat natoka huko nikaamua nipitie home one time kwenda kupak gari kabisaa maana tunaishi jiran na mshikaj, Basi acha ninuniweeee, kuuliza after one day eti naambiwa nilimsahau pale nyumban kwa mshikaj,jaman hawa wenzetu wana Mambo.
Ila kitu cha ku note ni kuwa sisi wanaume ni tofaut kabisa na Wanawake, the way tunafikiria is quite different na the way wao wanachukulia mambo.
so lets be carefull na mambo tunayoyafanya kuepuka kununiwa na kuchuniwa kusikokuwa na msingi.
Wasalaaaam
 
Mwananke ni kama mtoto mdogo hasa mkiwa ktk mahusiano ya kimapenzi.Hivyo anahitaji kubembelezwa kwa maneno laini hasa pale unapokuwa umemkosea.pia mwanamke anahitaji uwe na muda naye.kwa mfano. Mpe muda wakuwa naye faragha ili kubadilishana mawazo mambo mbalimbali ikiwa ya mapenzi au maisha yenu n,k.Sio wewe muda mwingi ukirudi kazini,muda kidogo umetoka kiguu na njia.
 
Hata mimi wakati mwingine inanitokea,kuchukizwa na kitu kidogo sana,
mwanzo ilikuwa inanipa shida kidogo,uwa inanitokea ninapokaribia
kwenda kufanya utafiti sayari nyingine....................lol.

Lakin sasa hivi kidogo inapungua, na hasa baada ya kuweka wazi kwa familia yangu,
ikikaribia kipindi hicho wanakuwa karibu yangu zaidi ya siku zingine.
 
Ah! Hawa nao ukiwafikiria sana wanashangaza. Wengi mmezungumzia kwenye mahusiano ya ndoa n.k lakini mimi imenitokea mara nne kukasirikiwa na wanawake wanne tofauti bila sababu kufahamika. Wa kwanza ni mwanamke jirani yangu tena chumba cha pili tu ukitoka cha kwangu alikuwa ananinunia bila sababu, wa pili ni jirani yangu tena kama yule wa kwanza lakini kwa nyumba tofauti, wa tatu ni kama hao wawili waliotangulia tofauti ni kwamba huyu wa tatu hana mume na wa nne ni dada wa cafe ambayo nilikuwa napenda kupata maziwa. Jamani sijui ni gundu au kitu gani nashindwa kabisa kuelewa!
 
Nimefurahishwa sana na namna watu walivyochangia katika hii mada, nami sitaacha ipite hivi hivi, Natarajia kuandaa Summary ya namna walivyochangia ili kusaidiana namna bora ya kuyahandle Mambo haya. Najua Kuna Matatizo mengi yanayofanana katika Mahusiano ila Njia za Kuyatatua zinatofautiana so ni Muhimu tukashea Njia mbali mbali za Kutatua Matatizo kama haya ili tuwe na Best Approach ya kutatua Matatizo cause Approach yangu yaweza kuwa sahihi au siyo sahihi
 
Mbona hii hutokea mara nyingi na madhara yake ni kufifisha penzi ,mtu ananuna kwa kuhisi unamkosea labda umechelewa kurudi home,labda unaficha kipato chako,labda unampenzi mwingine ,kwanini unabipiwa simu yako halafu unasema anaebip humjui au umetumiwa msg na asiyejulikana au anaejulikana nae ameitafsiri hiyo ni msg ya mapenzi ingawa alietuma si mpenzi wako,au hujamtosheleza kunako 6 kwa 6,umesahau kufanya jambo ambalo anahisi ni wajibu wako na ni lazima uweze kulitekeleza,anahisi humjali ,anahisi unamtukana kimoyomoyo alimradi hujui kwa kuanzia kubembeleza ,mara nyingine unaamua kumpotezea na yanaisha vizuri na mara nyingine yanaishia pabaya,yamenikuta na pia mpenzi wakngu yamemkuta kwa sababu hata mie huwa mara nyingine nahisi vibaya na kuwa mnyonge au kupitisha mnuno hata kwa wiki
Na hii ni kwa wengi ndugu yangu.hata officini nishawahi isikia hii mtu anasema ana mnunu na mwenzi wake hivyo anamaliza kabisa kucheka oficini nyumbani hakuchekeki!!!!!!!!!!!

Kwenye mapenzi mara nyingine kuna kero nyingi ,sijui ni kuchokana

Back
Top Bottom