Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

Koboko aka black mamba mwisho wa mchezo..angalia hapo mzee wa msitu Kama kalishwa togwa hivi,chungu tamu chungu tamu

Huyu Black mamba na Mozambique cobra yupi ni deadliest snake?

Nina kaelimu kidogo juu ya kumtambua nyoka mwenye sumu na asiye na sumu ila sijui nani ni hatari kumliko mwenzake
 
Na wakati akizaa alikuwa anatoa vitoto kimojakimoja kinakuwa ktk kifuko kidogo kisha watoto huinua kichwa kwa nguvu na kutoboa kifuko ndipo hutoka nje na kujilaza ubavuni mwa mama yao ili kupata joto la mama yao aina hii ya nyoka akiona unahatarisha usalama wake huinua mkia wake juu na kutoa mlio mfano wa kile kifaa cha kutikisa mtoto wanapolia anyamaze.

Noma sana
 
Na wakati akizaa alikuwa anatoa vitoto kimojakimoja kinakuwa ktk kifuko kidogo kisha watoto huinua kichwa kwa nguvu na kutoboa kifuko ndipo hutoka nje na kujilaza ubavuni mwa mama yao ili kupata joto la mama yao aina hii ya nyoka akiona unahatarisha usalama wake huinua mkia wake juu na kutoa mlio mfano wa kile kifaa cha kutikisa mtoto wanapolia anyamaze
Hakika unawajua vyema
 
Nikiwa na kifutu msitu mwaka 2003 huko njombe
91_1.jpg
 
Huyu Black mamba na Mozambique cobra yupi ni deadliest snake?

Nina kaelimu kidogo juu ya kumtambua nyoka mwenye sumu na asiye na sumu ila sijui nani ni hatari kumliko mwenzake

Black mamba ana sumu kuliko nyoka wote,,mkorofi kuliko wote,Ana speed sana,mrefu pia,Ana uwezo wa kutoa sumu yake kwa watu takribani 10 kwa wakati mmoja hii ni sifa nyingine pia kuliko wengine wote,sababu nyoka anapotoa sumu huwa anatumia nguvu nyingi sana mpaka kurecharge tena,ila yeye kwa speed yake ile ile kwa wakati ule ule..huyu ukikutana nae ni ama zako au zake,ni mkorofi balaa,niulize sasa wanavijiji wanavyomuuwaga wakijua yuko sehemu?

Mozambique cobra siwafahamu sana ila nafahamu cobra kama cobra,hawa sumu zao sio kivile sana,hata speed,spitting pia sio kivilee,ila ni INTELLIGENT hata kwenye kupambana kwao ni strategic sana,alafu ni species wanaoishi sehemu tofauti sana,cobra wengi deadly wanapatikana India while black mamba wanapatikana Africa
Angalia humu pia kuongezea kwa wataalamu

Niliawaonaga sana Iringa kule, ni wazembe unaweza mkuta njiani ukaenda kutafuta fimbk kama dk 10 ukarudi na ukamkuta. Pia hata ukimgusa ataondoka taratibu sana hana mbio.

Moja kati ya nyoka wazembe sana
 
Black mamba ana sumu kuliko nyoka wote,,mkorofi kuliko wote,Ana speed sana,mrefu pia,Ana uwezo wa kutoa sumu yake kwa watu takribani 10 kwa wakati mmoja hii ni sifa nyingine pia kuliko wengine wote,sababu nyoka anapotoa sumu huwa anatumia nguvu nyingi sana mpaka kurecharge tena,ila yeye kwa speed yake ile ile kwa wakati ule ule..huyu ukikutana nae ni ama zako au zake,ni mkorofi balaa,niulize sasa wanavijiji wanavyomuuwaga wakijua yuko sehemu?

Mozambique cobra siwafahamu sana ila nafahamu cobra kama cobra,hawa sumu zao sio kivile sana,hata speed,spitting pia sio kivilee,ila ni INTELLIGENT hata kwenye kupambana kwao ni strategic sana,alafu ni species wanaoishi sehemu tofauti sana,cobra wengi deadly wanapatikana India while black mamba wanapatikana Africa
Angalia humu pia kuongezea kwa wataalamu

Shukrani chief
 
Eti nyoka anapenda stori hivyo tusimuuwe tunapomuona..
 
Inasemekana mjerumani aliwapandikiza wengi mkoa wa Lindi na baadhi ya maeneo ya Dodoma ili kupambana na panya kwenye groundnut scheme
 
Niliwahi kukutana na vifutu wakijaribu kupandana kule Kigwa, Tabora. Nafikiri Kigwa ndiyo makao makuu ya nyoka hapa Bongo, yaani kuna nyoka wa hajabu sijawahi kuona hapa Bongo. Kifutu si rahisi kuuma mtu, na ile siku nilikutana nao pale Kigwa nilijaribu kuwapisha ila wenzangu sasa walikuja kuwaua bila hata sababu. Nilisikitika sana.
Usikitike kisa nyoka kuuawa,tena kifutu?.
 
Huyu nyoka mpole sana wanapatikana sana maeneo ya baridi , siku moja nikiwa mafinga jkt nilitoroka mkesha nikaenda kulala porini nilikuwa na blanket nikiwa nmelala kumbe likaja likifutu na kuingia kwenye blanket asubuhi nashtuka linanitekenya...
Wala halikunidhuru
Umesema kweli,Mimi pia niliwaona kwa wingi nikiwa Mafinga JKT,nikiwa detach ya Lungemba nilikuwa nawaona kwa wingi,pamoja na chatu
 
Back
Top Bottom