Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Nimeingia kwa dakika chache tu, nilipoingia jamiiforum ikagoma kufunguka. Ilibidi niitoe(uninstall) tor app. baada ya hapo mambo yalikwenda sawa.
Kwa kifupi nimeshindwa kuitumia tor.
 
Kama hujawahi kuingia usije ukajaribu kabisa huko ni zaidi ya kuzimu hakufai, narudia tena hakufai kabisa
 
Back
Top Bottom