Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Yaah huko kuna tisha sana unaweza kwenda na usirudi salama, yaani kule ni dunia nyingine, kuna jamaa anauza huko Nuclear Bomb anataka nimtumie advance billion 160, kwa njia ya Bitcoin, hapa nataka niende Nikaangalie mchakato bandarini nalipitisha hapo nione nitatoswa kodi how much na TRA.....
 
wengine wanauza nyama za watu.............inatisha............!!!
 
Yaah huko kuna tisha sana unaweza kwenda na usirudi salama, yaani kule ni dunia nyingine, kuna jamaa anauza huko Nuclear Bomb anataka nimtumie advance billion 160, kwa njia ya Bitcoin, hapa nataka niende Nikaangalie mchakato bandarini nalipitisha hapo nione nitatoswa kodi how much na TRA.....
Nimeichukua tayar iyo app unaitumiaje maana sioni chochote
 
Yaah huko kuna tisha sana unaweza kwenda na usirudi salama, yaani kule ni dunia nyingine, kuna jamaa anauza huko Nuclear Bomb anataka nimtumie advance billion 160, kwa njia ya Bitcoin, hapa nataka niende Nikaangalie mchakato bandarini nalipitisha hapo nione nitatoswa kodi how much na TRA.....
Hahaaaa nimecheke kinona.. inabidi na mimi nikajionee mwenyewe
 
Yaah huko kuna tisha sana unaweza kwenda na usirudi salama, yaani kule ni dunia nyingine, kuna jamaa anauza huko Nuclear Bomb anataka nimtumie advance billion 160, kwa njia ya Bitcoin, hapa nataka niende Nikaangalie mchakato bandarini nalipitisha hapo nione nitatoswa kodi how much na TRA.....
 
Ngojaaaaa nisaaaabuuuusiiikiiiraaaaiiibuu huu uziii....

Ila comments weka mbali na watoto
 
Kwani canera tunaziba je? Kufunga jicho la camera ktk hii device yangu ama?
Ninachoogopa zaidi kuthubutu kuingia huko ni hili tisho la kukwaa virus. Hayo mengine ni ya kawaida tu.
haswa ni kuziba Jicho la Camera.......unajua Mkuu sasa hivi Tekinolojia imekuwa pana sana na kuna maujuzi humo balaa kwa ujumla kuwa kwenye Net ni kujiweka wazi.............!!!! Antivirus zenyewe siku hizi nao ni wadukuaji sasa tutaponea wapi......???
 
ni nomaa drugs zinauzwa kama majarage kariakoo, viungo vya binadam ndio usiseme siraha za livita....
 
Unatumia tor browser
Na hii tor browser unaweza idownload hata kwenye chrome

Sema sasa inaboa vibaya mno coz huko hamnaga story wala mapicha picha ya kuvutia kiufupi is not friendly like other search engine and i think is because huko most of people huko wapo kikazi zaidi .............!

Then unaingia page inaitwa silkroad where is one of the largest site for transaction kama ilivyo kwa alibaba au ebay,kikuu,
There you will find people selling
Illegal drugs
Weapons ambapo most of waasi hutumia that way to buy weapon

Also wanatoa mafunzo on how you can torture human as a punishment

Lakuni pia mbali na hayo it is good if used in good way coz if you do business there hakuna maswala ya kukatwa makodi kodi with banks during money transfer na TRA coz there inakulink one to one with the person
Na wanatumia BITCOIN as mode of money for transaction coz haiitaji central bank system like all other currency

Tutaendelea zaidi sorry now npo na kazi kidogo..............!
 
Back
Top Bottom