Kuna muv yake kabisa sema nimeisahauinteresting... so who developed these deep web and dark web,,i'll go there somedays
Yaah huko kuna tisha sana unaweza kwenda na usirudi salama, yaani kule ni dunia nyingine, kuna jamaa anauza huko Nuclear Bomb anataka nimtumie advance billion 160, kwa njia ya Bitcoin, hapa nataka niende Nikaangalie mchakato bandarini nalipitisha hapo nione nitatoswa kodi how much na TRA.....
muthenge kwelii weweMkuu endelea inaonkana unajua sana kuhusu hii ishuNa hii tor browser unaweza idownload hata kwenye chrome
Sema sasa inaboa vibaya mno coz huko hamnaga story wala mapicha picha ya kuvutia kiufupi is not friendly like other search engine and i think is because huko most of people huko wapo kikazi zaidi .............!
Then unaingia page inaitwa silkroad where is one of the largest site for transaction kama ilivyo kwa alibaba au ebay,kikuu,
There you will find people selling
Illegal drugs
Weapons ambapo most of waasi hutumia that way to buy weapon
Also wanatoa mafunzo on how you can torture human as a punishment
Lakuni pia mbali na hayo it is good if used in good way coz if you do business there hakuna maswala ya kukatwa makodi kodi with banks during money transfer na TRA coz there inakulink one to one with the person
Na wanatumia BITCOIN as mode of money for transaction coz haiitaji central bank system like all other currency
Tutaendelea zaidi sorry now npo na kazi kidogo..............!
Vyuma bado vimekaza mkuuWakuu ila kule si grease wanauza kwa bei rahis!!!
Njoo pm unifundishe kuiba kwenye ATM mkuuNimewahi ku-download hio Tor browser na kuzama kwenye dark web. Hakika kuna mambo ya ajabu sana. Nimeona site za kuuza bangi madawa na kujifunza namna ya kuiba kwenye atm. Ni hatari sana
Wakiwepo inamhusu nini anayeperuziamna shida lakini kuna mambo mengi ufanyika kule wadukuzi wa hali ya juu,wasambazi virus na waalifu wakubwa wenye mitandao kila nchi wapo so surf for own risk!
Hizo illegal zinamhusu nini anayeperuzikule illegal business kubwa zinafayika kama madawa ya kulevya,deal za mauaji viongozi wq serikal,kampuni,waandishi wa habari na kadhalika kwaiyo intelijensia kubwa dunia uwepo kuangalia na kukusanya data..kiufupi kule mkuu ni real deep yani
*Tumia tor browserBado sijaelewa vizuri namna ya kuingia huko mkuu.. Nipe muongozo rahisi
Mfano unapita kijiwe cha wavuta bang na wa madawa ya kulevya, ghafula polisi wakatokea, je, watakuacha au watakukamata?Hizo illegal zinamhusu nini anayeperuzi