Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Asante kwa elimu hii. Dark web niliisikia tu kwa mtu sasa nimepata elimu. Asante
 
Kuna professional killers wameajiriwa kule kuna show ya kuonyesha MTU anavyouliwa so chunga sana ukiingia wanakusearch ili wakafanye maonyesho so stay away....network ni kubwa mno na watu na viungo vinapatikana huku wakiona mgeni kwenye mtandao wao inakua kama alert..watch out
 
Back
Top Bottom