Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Matatizo kama yapi?

Mkuu:
Sasa ikiwa routing imefanywa na imetambulika ID yako huoni kuwa umekwisha kuwa vulnerable kwa kuwekewa virusi vya aina yeyote achilia mbali wizi au uhalifu mwingine wowote.
 
Nimejaribu kuingia naona cm yangu inapiga picha za ghetto automatic haizim nimeiacha nje kwanza nawaza nikaiweke kwenye maji chakushangaza kila naipeleka nje naikuta ndan jaman plzz msiingie huko
 
Huko niliona vitu ambavyo kwa watu wengi hata wasingekuwa wakilala usiku yani toka gore mpk humiliation za kila aina!!
 
Mahacker wa huko ni balaa wanaweza piga risas los Angeles ikakuta koromije Mara paap hii hapa inatokea kwenye simu !!!
 
Hapana huko hakufahi kabisa, niliwahi kuingia na kila siku ilikuwa lazima nitembekee web yao, kuna MTU alinionya kuwa niachane na hii web ila nikawa mmbishi. Kuna siku nimeingia kwenye web yao simu ilizima hapo hapo jumla na mpaka Leo ilishindikana kutengeneza IPO ndani ile smartphone ni kopo nikanunua nyingine. NawaOmbeni achana na hiyo dark web kama huna kazi nao
Aisee
 
Waliofika huko mrejesho please
Kunaogopesha sana, nimeingia usiku saa 10 simu ilizima gafla ndo imewaka saivi...hawa jamaa wanatumia kitu gani? Hata screenshot huwez kupiga,hata kudownload picha!!!!! TZ kumbe bado tupo gizani sana.....
 
Sina hamu na huko kabisa hapafai hata nilishaingia huko simu ndani ya siku mbili ikastack yenyewe sasa hv ni mtego wa panya tu ndani watu weng hawaujui ule ulimwengu aisee ni tofauti kabisa Hawa ISS waone hvhv nilichojionea huko ni balaa wanajua kuvuta watu saaana
 
Hakika tupo gizani, duu.nilitaka kuigia huko lkn nikaogopa kupigwa picha kwa lazima. Halafu kilichoniogopesha nikwamba ukifika huko uwe na shida, kama utagundulika na hao jamaa kuwa huna kitu cha kufanya huko wanakuchulia kama mpelezi na Kukutumia virus, na kuharibu sim au kopyuta yako.hapo ndo nimeogopaaa
 
Sina hamu na huko kabisa hapafai hata nilishaingia huko simu ndani ya siku mbili ikastack yenyewe sasa hv ni mtego wa panya tu ndani watu weng hawaujui ule ulimwengu aisee ni tofauti kabisa Hawa ISS waone hvhv nilichojionea huko ni balaa wanajua kuvuta watu saaana
Du
 
Sirudi tena huko, simu yangu ingeharibika bure, na sina hela ya kununua ingine
 
  • Thanks
Reactions: bkk
Sirudi tena huko, simu yangu ingeharibika bure, na sina hela ya kununua ingine
Nenda tu kuwa Tomaso muda huu kuna jamaa hapa nampa haya maujuzi kajifanya mjanja anasema usiku Leo anajaribu kuingia nikampa onyo kaleta ubishi najua kesho atanitafuta tu
 
  • Thanks
Reactions: bkk
Nenda tu kuwa Tomaso muda huu kuna jamaa hapa nampa haya maujuzi kajifanya mjanja anasema usiku Leo anajaribu kuingia nikampa onyo kaleta ubishi najua kesho atanitafuta tu
Heheheee.... Mwambie kabisa asikulaumu simu ikizongua!
 
  • Thanks
Reactions: bkk
Back
Top Bottom