Aisee! Kwanini yote hayo? Hizo Java Script settings, Input devices una disable vipi? Ukiziacha tu itakuaje? Elimu zaidi tafadhali Mkuu.
Mkuu:
Umeuliza baadhi ya maswali kama ifuatavyo:---
1. Kwa nini yote hayo
Deep Web ni mtandao wa faragha ambapo baadhi ya watu, taasisi, serikali, wahalifu, watafiti majasusi, biashara halali na haramu ....nk vyote hufanyika huko, ni jukwaa lao la kufanyia kazi, mawasiliano, makavazi....nk. hivyo yeyote anae ingia huko ni lazima awe na sababu maalum pasi na kuwa mzururaji vinginevyo atahesabika kama mdukuzi na ataadhibiwa kwa namna yeyote ile, hakuna kuaminiana huko
2. Ku Manage Java Script.
Kwa kutumia Google Chrome
Fanya ifuatavyo.
Select “Menu”
Settings “Advanced” “Content settings…” “JavaScript“.Type “chrome://settings/content/javascript
Kwenye address bar, utabonyeza “Enter“Scroll down chagua “Adv” option, chagua “Content settings…” button. Hapo utaamua kuchagua “Allowed” or “Blocked” kulingana na utashi wako.
Optiion nyingine, unaweza au kuzuia kwenye website kwa njia “Manage exceptions…” button na uandike URL ya website unayo ikusudia kwenye “Hostname Pattern” field. Baada ya hapo, set the “Behavior” to “Block” or “Allow“. Unaweza vilevile kwa njia hii ku-block baadhi ya sehemu kwenye hiyo website.
Kuhusu swala je nikiacha Java Script itakuwaje?.
Kiuhalisia Java Script ndio ndio common platform inayotumika kwenye websites kwa hivi sasa.
Kwenye Java Platform ni rahisi sana kushambuliwa na virus mfano rahisi hapo utakuta kuna spams,cookies etc .., kuhusu webcam na mic unaweza kuzibandika cellotape au gundi yeyote kwa muda.