gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 786
- 1,367
Watu wengi wanatumia mtandao wa Internet ku-explorer website mbalimbali, lakini kumbe website tunazo zitembelea ni asilimia chache sana ya website zilizo jificha zinazoitwa 'deep web'.
Hata ukitumia traditional search engine kama google.com na yahoo.com utaweza kupata asilimia chache kama 20% ya information zote zilizo kwenye Internet. Kumbe kuna taarifa nyingi ambazo zipo kwenye mtandao ambazo hatuna access nazo, zaidi ya 80%.
Inakadiriwa kwamba ukubwa wa data zilizo kwenye deep web au dark web ni mara 400 ya taarifa zilizopo kwenye website za kawaida.
Deep web kumbe yaweza kufananishwa na pande la barafu linalo elea baharini ambapo ni kipande kidogo tu kitakacho kuwa juu ya maji na asilimia kubwa huwa chini ya maji na si rahisi kuiona.
NINI KIPO KWENYE DEEP WEB
Taarifa nyingi za kutishwa na kuogofya zinapatikana huko kwenye deep web, pia kuna mamilioni ya websites yaliyojaa uchafu wa kila aina.
Mfano ni website kama Hiden Wiki ambayo ni kubwa na ina taarifa nyingi zaidi ya normal wikipedia, Pia mitandao mingi inayo ishia na .onion inahifadhi taarifa za deep/dark web.
WATUMIAJI WA DEEP WEB
Watumiaji wakubwa wa deep web ni watu ambao hawataki taarifa zao zijulikane kirahisi mfano Wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya, wanao fanya biashara za binadamu, wezi wa mitandaoni(proffesional hackers), majasusi, majambazi wa kimataifa, picha chafu za ngono na zisizo ruhusiwa n.k.
JINSI YA KU EXPLORER DEEP WEB
Ukitaka ku explorer deep web kwanza lazima uwe na Browser maalumu kwenye pc yako mfano Tor Browser inapatikana katika platform mbalimbali kama windows linux pamoja na mac. Fuata maelekezo ya kuinstall ukisha install Tor Browser waweza kuanza kupitia link
Warning: Usitumie deep web if you are not brave enough.
Ahsante