Ni rahis kutumia darkweb na ni rahisi kupatwa na tatizo kam hujafuata taratib....
Kutokan na tafiti zilizofanyika, ni 4% ya internet ambayo hutumiwa na jamii yote. Wakat huohuo 96% ya internet ipo darkweb
1: pakua VPN (VIRTUE PRIVATE NETWORK) tumia vpn ya kulipia si ya bure. Vpn itakusaidia kuwa na fake IP address na pia itakusaidia wadukuaji wasitumie identity yako na vitu vilivyo kweny simu au com yako pamoj na picha. Vpn utayotumia iwe inaendana na TOR ( TOR ntaelezea badae)
2: usitumie darkweb kwa kutumia browser za kawaid kwa mf. Google chrome,internet explo, operamini, firefox. BAADA YA KUSET vpn pakua browser inayoitwa TOR, Na unatakiwa ukaipakue kweny tor website. Usipakue sehem nyingin yoyote.
Www.torproject.org
3: install TOR BROWSER. hadi hapa utakua umepunguza uwezo wa kujulikana na ulinzi wa kifaa chako
4: anza kutumia TOR browser kwa matumiz ya darkweb
5: usibadilishe size ya TOR browser km unatumia pc. Hii itafanya ujulikan kwa kua utakua na size ya peke ako sabab wte watumiao tor hawabadilish size
6: pia TOR haikufaby wew usijulikane mojmoj kwa 100%, sasa ni lazim ukazime JAVASCRIPT katika tor in setting weka OFF
7: disconnect camera zako au webcam au funika camera zote na tep nyeus. Wadukuaj wanaez kucontrol camera na kujua wew ni nan
8: disconnect spika zote unazotumia au zifunike kwa tep km ulivofany kweny camera. Hata aliyegundua facebook Mark zuckerberg alisahau kufany hvo na anajua hatar ya kilichompata
9: usitumie majin ya ukwel,pich, hata email ako (unapaswa kua na email pekee kwa ajil ya darkweb)
10: usitumie TOR kwa ajili ya jambo lingine isipokua darkweb.,kwa mf. Ukilog in na account yyte itakua rahis kuonekana.
Jahbless