Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Nili bahatisha kuingia kwa simu mtandao huo upo complecated sana labda kama una kazi maalumu ama una kitu cha kutafuta huko, kingine links nazo ni ishu kuzipata na nyingine huingii bila kuwa invited and it is complecated enough
 
Hapana huko hakufahi kabisa, niliwahi kuingia na kila siku ilikuwa lazima nitembekee web yao, kuna MTU alinionya kuwa niachane na hii web ila nikawa mmbishi. Kuna siku nimeingia kwenye web yao simu ilizima hapo hapo jumla na mpaka Leo ilishindikana kutengeneza IPO ndani ile smartphone ni kopo nikanunua nyingine. NawaOmbeni achana na hiyo dark web kama huna kazi nao
 
Kuna professional killers wameajiriwa kule kuna show ya kuonyesha MTU anavyouliwa so chunga sana ukiingia wanakusearch ili wakafanye maonyesho so stay away....network ni kubwa mno na watu na viungo vinapatikana huku wakiona mgeni kwenye mtandao wao inakua kama alert..watch out
Watanipatia wapi, nipo bongo Bahati mbaya
 
Hapana huko hakufahi kabisa, niliwahi kuingia na kila siku ilikuwa lazima nitembekee web yao, kuna MTU alinionya kuwa niachane na hii web ila nikawa mmbishi. Kuna siku nimeingia kwenye web yao simu ilizima hapo hapo jumla na mpaka Leo ilishindikana kutengeneza IPO ndani ile smartphone ni kopo nikanunua nyingine. NawaOmbeni achana na hiyo dark web kama huna kazi nao
Ulikua unafwatilia nini?
 
Ni rahis kutumia darkweb na ni rahisi kupatwa na tatizo kam hujafuata taratib....

Kutokan na tafiti zilizofanyika, ni 4% ya internet ambayo hutumiwa na jamii yote. Wakat huohuo 96% ya internet ipo darkweb

1: pakua VPN (VIRTUE PRIVATE NETWORK) tumia vpn ya kulipia si ya bure. Vpn itakusaidia kuwa na fake IP address na pia itakusaidia wadukuaji wasitumie identity yako na vitu vilivyo kweny simu au com yako pamoj na picha. Vpn utayotumia iwe inaendana na TOR ( TOR ntaelezea badae)

2: usitumie darkweb kwa kutumia browser za kawaid kwa mf. Google chrome,internet explo, operamini, firefox. BAADA YA KUSET vpn pakua browser inayoitwa TOR, Na unatakiwa ukaipakue kweny tor website. Usipakue sehem nyingin yoyote. Www.torproject.org

3: install TOR BROWSER. hadi hapa utakua umepunguza uwezo wa kujulikana na ulinzi wa kifaa chako

4: anza kutumia TOR browser kwa matumiz ya darkweb

5: usibadilishe size ya TOR browser km unatumia pc. Hii itafanya ujulikan kwa kua utakua na size ya peke ako sabab wte watumiao tor hawabadilish size

6: pia TOR haikufaby wew usijulikane mojmoj kwa 100%, sasa ni lazim ukazime JAVASCRIPT katika tor in setting weka OFF

7: disconnect camera zako au webcam au funika camera zote na tep nyeus. Wadukuaj wanaez kucontrol camera na kujua wew ni nan

8: disconnect spika zote unazotumia au zifunike kwa tep km ulivofany kweny camera. Hata aliyegundua facebook Mark zuckerberg alisahau kufany hvo na anajua hatar ya kilichompata

9: usitumie majin ya ukwel,pich, hata email ako (unapaswa kua na email pekee kwa ajil ya darkweb)

10: usitumie TOR kwa ajili ya jambo lingine isipokua darkweb.,kwa mf. Ukilog in na account yyte itakua rahis kuonekana.

Jahbless
 
swali la msingi.. hivi dark web wana seach engine yao??? au kutafuta taarifa huko ni mpk uwe na url husika??
Ukiwa na Tor au firefox kawaida kuna site unaitwa hidden wiki hiyo ni kama wikipedia ya dark web ambako utapata link ya site mbalimbali
 
Ni rahis kutumia darkweb na ni rahisi kupatwa na tatizo kam hujafuata taratib....

Kutokan na tafiti zilizofanyika, ni 4% ya internet ambayo hutumiwa na jamii yote. Wakat huohuo 96% ya internet ipo darkweb

1: pakua VPN (VIRTUE PRIVATE NETWORK) tumia vpn ya kulipia si ya bure. Vpn itakusaidia kuwa na fake IP address na pia itakusaidia wadukuaji wasitumie identity yako na vitu vilivyo kweny simu au com yako pamoj na picha. Vpn utayotumia iwe inaendana na TOR ( TOR ntaelezea badae)

2: usitumie darkweb kwa kutumia browser za kawaid kwa mf. Google chrome,internet explo, operamini, firefox. BAADA YA KUSET vpn pakua browser inayoitwa TOR, Na unatakiwa ukaipakue kweny tor website. Usipakue sehem nyingin yoyote. Www.torproject.org

3: install TOR BROWSER. hadi hapa utakua umepunguza uwezo wa kujulikana na ulinzi wa kifaa chako

4: anza kutumia TOR browser kwa matumiz ya darkweb

5: usibadilishe size ya TOR browser km unatumia pc. Hii itafanya ujulikan kwa kua utakua na size ya peke ako sabab wte watumiao tor hawabadilish size

6: pia TOR haikufaby wew usijulikane mojmoj kwa 100%, sasa ni lazim ukazime JAVASCRIPT katika tor in setting weka OFF

7: disconnect camera zako au webcam au funika camera zote na tep nyeus. Wadukuaj wanaez kucontrol camera na kujua wew ni nan

8: disconnect spika zote unazotumia au zifunike kwa tep km ulivofany kweny camera. Hata aliyegundua facebook Mark zuckerberg alisahau kufany hvo na anajua hatar ya kilichompata

9: usitumie majin ya ukwel,pich, hata email ako (unapaswa kua na email pekee kwa ajil ya darkweb)

10: usitumie TOR kwa ajili ya jambo lingine isipokua darkweb.,kwa mf. Ukilog in na account yyte itakua rahis kuonekana.

Jahbless
Mkuu, hebu njoo umalizie hili somo lako aisee!
 
Niliingia youtube kucheki story za darkweb kuanzia gapo niliahirisha mpango wangu wa kununua manati ya mzungu huko..

Lkn ujasiri umerudi tena sasa nataka niende kupiga story na kuwahubilia neno hadi huko darkweb
 
Back
Top Bottom