Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Mtu atakayefanikisha kuingia, hebu atulize kichwa aaandike maelezo yanayonyooka walau, maana ni kamzozo tu hapa
 
Mbona
hizi hapa FORUM sites mbalimbali ambazo utapata habari na kila kitu unachohitaji kutoka Dark Web
KILA LA KHERI
NB: Kumbuka kutumia VPN na TOR BROWSER kwa usalama zaidi
Mbona zote hazifunguki? Hko tor browser
 
Ukikosea tu jua vyombo vyote vikubwa vya usalama vitakutafuta, pia hao wenyewe hizo links makundi ya kigaidi, ya kimafia na makundi ya kihalifu ya kimataifa wanakuweka kwenye rada zao ( Kitendo cha kutobonyeza herufi sahihi na kwa wakati muafaka kwenye hizo links umejiexpose na subilia matokeo yake..!)
Uhuru unaoutumia kwenye surface Web kwenye dark web hakuna, kama sio mjuzi wa ICT sikushawishi uende huko.

View: https://www.youtube.com/watch?v=U2-JPqrALsA
 
Back
Top Bottom