Mimi 7 seventh dayskuna kamoja kanakuja nakusubiri kwa hamu kengine naenda kukatafuta jumapili





Kwa ukoo wetu tumezaliwa wanaume wawili tu, mdogo angu mkewe ana changamoto, kapata 1 kid basi. Mie nae ndo ivo watatu tu now.Nikweli brother tunatofautiana.
Kama hutojali.
Unaweza kunipa sababu ya wewe kutaka kuzaa watoto?
Motive ya wewe kutaka kuzaa idadi ile uliyoisema?
Nataka nione kweli wewe si mbinafsi!
Mmoja tu ni kipengele...Kuna zile nyakati za mwanzo usiku hakuna kulala...Wanaozaa mapacha kuanzia watatu wanafanyaje wakuu... maana I wish nije kua na watoto wa3 at once 🥹
Tunapopanga jambo kifo tunakiweka constant. Wote tutakufa lakini haizuii kuipanga kesho yetu.Kesho hujui utakuwa wapi halafu unatuuliza watoto
Wewe ukipanga hivi linakuwa hivi
Kuna jamaa alinunua viatu akasema atavaa sikukuu badala yake ndio walimzika navyo
Kwakweli nitavumilia, kwa habari za labour ninazoziona na kuzisikia sio kwa kurudia mara mbilimbili😥Mmoja tu ni kipengele...Kuna zile nyakati za mwanzo usiku hakuna kulala...
Sasa Mapacha unaweza kuelewa inakuwaje..Kwa kifupi inakuwa mara mbili yake...
KuzimuAmbao hatutaki kuwa na watoto tuna comment wapi
Jamani jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbutaaa....
Unamzungumzia baba yupi? Aliyebambikiwa au mwenye mtoto?Ndugu zake mama, kwasababu baba hana uhakika kama ni wa kwake
Duh!...una nyota ya mapachaKabla sijapata hata mke nilipanga kuwa na watoto wawili tu wakike na wakiume
Ktk harakat za kucheza mechi za kirafik muimba kwaya mwenzangu ikanasa mpaka anakuja kuniambia kuwa imenasa ilikua imeshafikisha miez mitan kasoro
Tukakaa km kamat tukakubaliana tuitoe aloooooo alitumia dawa km buku ngoma ngumu iligoma kutoka kwa mbinde sana akajifungua mapacha watat vidume watupu
Mzee mzima sikuwa mgumu fasta tu nikakubal majukumu na kwa vile kazi yangu kubwa ni kupiga kinanda cha kanisa bila malipo ndugu zangu wakakubal kusaidia huduma wakat najitafuta
Nikazamia dar na km kawaida yangu siwez vumilia kukaa na upwiru wakat napiga kazi kkoo ya kuendesha torol la magodoro kuna mmakonde muuza matunda ikanasa,mungu ambarik alienda kwao mtwara mpaka leo naishia kutuma pesa tu na kuongea na mtoto kupitia simu sijawah hata kumuona
Sasa hv nimeoa na nina watoto saba pacha watupu na waif ni mjazito kwa mujibu wa ultrasound ana pacha hawana hakika km wawil au zaid na swala la kufunga uzaz waif hatak anasema atazaa mpaka waishe au mmoja wetu kati ya mim au yey afe na wote tumekutana hatuwez vumilia kukaa na upwiru
lkn nashukuru mungu wananipa hamasa ya kutafuta pesa kinomanoma nikiwa nao full shangwe
Jamani jamani![]()



Nakuona tu we' Mzee...Nimekuelewa mkuu...matter of chance+heredity factor. The rest ni ramli tu
Teh teh teh 😃😃 una first 11 na sub mbiliNilipanga niwe nao 20, sasa hivi nna watoto 13 hamna rangi naacha ona aisee wananipeleka kaa gari bovu, najitahidi kuwahudumia wote ila sio poa,
Malengo yangu ya kua tajiri nayaona yaleeeeee yanapepea, maana 8 kati hao wako la 7 kushuka chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka mapacha, wawili tu..nipe ramani🤣🤣🤣Nakuona tu we' Mzee...
Mwaka unaelekea kuisha huu...sasa jichanganye.