Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,120
- 2,317
Hili hana tajiri mwenzako Elon, amelisema sana! 😄Lidunia ni kubwa sana hatujaenea kamwe!
Hili hana tajiri mwenzako Elon, amelisema sana! 😄Lidunia ni kubwa sana hatujaenea kamwe!
Duh! Only 1 kila generation! Hongereni pia!Babu yangu alizaliwa mwenyewe.
Baba yangu alikuwa mwenyewe.
Nikazaliwa mwenyewe pia.
Nadhani ntafuata hii trend.
mkuu mie c mbinafsi, ningekua ivo I hope kwa umri wng ningekua na hata 7 sasa.Hapana
Mimi nawapenda watoto wangu tena upendo uliopitiliza kiasi cha kutowaleta hapa duniani.
Am not selfish just like you.
Wengi wenu humu mnazaa kwasababu za kibinafsi tu
Fyatueni mkuu
Tutawasaidia kulea
You know what i mean.
ha ha haaa...hzi dini zinatubana wkt kwenye Biblia hakuna hata mstari mmoja unaokataza kuoa wake wawili na zaidi...na watu wakubwa wa dini walioa mpk wake 700 achilia mbali masuliaBabu yangu alizaliwa peke yake kwa mama yake, baba yangu walizawa watatu, Mimi nimezaliwa peke yangu!
Kwa Sasa nina watoto wawili, hii kitu inanifikirisha sio kidogo, nabanwa na dini na tamaduni zetu hizi, lakini naazimia kabisa hii idadi ya watoto haitoshi hata kuielezea.
Hao wawili wamezaliwa kwa upausaji ,uwezekani wa kuongeza hata mmoja ni changamoto .
Naona ukoo unaporomoka kulekea chini, kwa vyovyote ni lazima nifanye isiyo kawaida.
mkuu hizi dini za kigeni zimenipofusha asee...ila naungana na hoja yako. Mf hapa kuna mkasikazini anataka kid from me, ila ndo ivo dini inanivutaMtoa post uko sahihi,Ila nikushauri usizae na mwanamke mmoja,Chnganya NASABA yaan KOO kunafaida kubwa sana,Sababu mafanikio ya mtu pia huendana na asili yake
Kama mwanamke nimemlipia mahari, watoto atakaozaa wote ni wangu.Ndugu zake mama,kwasababu baba hana uhakika kama ni wa kwake
Chukua watoto bila DNA. Mbona wazee wa zamani walikuwa na watoto mpaka 20 kwa wake zake 4 na wote ni watoto wake??c anawapima DNA tu kama ana wasiwasi?
Mwanamke akikupa mtoto wewe chukua tu mkuu. Kwanini uishi kwa pressure??Hiyo nayo itaniongezea wasiwasi
Nowdays ndugu kwa ndugu tumekuwa tukisalitiana sana.
Labda huyo ndugu awe bibi au jinsia ya kike
Nilipanga niwe nao 20, sasa hivi nna watoto 13 hamna rangi naacha ona aisee wananipeleka kaa gari bovu, najitahidi kuwahudumia wote ila sio poa,
Malengo yangu ya kua tajiri nayaona yaleeeeee yanapepea, maana 8 kati hao wako la 7 kushuka chini.
Sent using Jamii Forums mobile app

huu mziki noma!