Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Kabla sijapata hata mke nilipanga kuwa na watoto wawili tu wakike na wakiume


Ktk harakat za kucheza mechi za kirafik muimba kwaya mwenzangu ikanasa mpaka anakuja kuniambia kuwa imenasa ilikua imeshafikisha miez mitan kasoro



Tukakaa km kamat tukakubaliana tuitoe aloooooo alitumia dawa km buku ngoma ngumu iligoma kutoka kwa mbinde sana akajifungua mapacha watat vidume watupu


Mzee mzima sikuwa mgumu fasta tu nikakubal majukumu na kwa vile kazi yangu kubwa ni kupiga kinanda cha kanisa bila malipo ndugu zangu wakakubal kusaidia huduma wakat najitafuta


Nikazamia dar na km kawaida yangu siwez vumilia kukaa na upwiru wakat napiga kazi kkoo ya kuendesha torol la magodoro kuna mmakonde muuza matunda ikanasa,mungu ambarik alienda kwao mtwara mpaka leo naishia kutuma pesa tu na kuongea na mtoto kupitia simu sijawah hata kumuona


Sasa hv nimeoa na nina watoto saba pacha watupu na waif ni mjazito kwa mujibu wa ultrasound ana pacha hawana hakika km wawil au zaid na swala la kufunga uzaz waif hatak anasema atazaa mpaka waishe au mmoja wetu kati ya mim au yey afe na wote tumekutana hatuwez vumilia kukaa na upwiru


lkn nashukuru mungu wananipa hamasa ya kutafuta pesa kinomanoma nikiwa nao full shangwe
 
Malengo yake ni mazuri sana ila urithi wa mtoto ni elimu bora sio zaidi kupeleka mwanao hizi shule za st kayumba ni kwa 80% isipo angalia sana huyu ni potential future bodaboda dereva au konda wa dala dala, nta zaa wengi kadiri ya uwezo wangu wa kuwapa elimu bora na malazi mazuri.
Hakuna mahusiano kati ya elim bora na mafanikio
 
Babu yangu alizaliwa peke yake kwa mama yake, baba yangu walizawa watatu, Mimi nimezaliwa peke yangu!
Kwa Sasa nina watoto wawili, hii kitu inanifikirisha sio kidogo, nabanwa na dini na tamaduni zetu hizi, lakini naazimia kabisa hii idadi ya watoto haitoshi hata kuielezea.
Hao wawili wamezaliwa kwa upausaji ,uwezekani wa kuongeza hata mmoja ni changamoto .
Naona ukoo unaporomoka kulekea chini, kwa vyovyote ni lazima nifanye isiyo kawaida.
 
Back
Top Bottom