Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Wanaozaa mapacha kuanzia watatu wanafanyaje wakuu... maana I wish nije kua na watoto wa3 at once 🥹

Kuna dawa mfano letrozole hizi zinatumika kutibu mzunguko usioeleweka na PCOS…. Hizi dawa ukizitumia ukipevusha unapevusha mayai mengi ila inashauriwa uwe na uangalizi wa karibu wa daktari wa wanawake maana unaweza uka conceive mapacha hata sita ila wakawa wana kasoro.
 
Nitaweza kuwalea kweli?? Sitaki uncle zako waishi maisha ya taabu jamani.
Wanasema kuzaa sio kazi ila kulea, ila ukweli kulea sio kazi kiasi hicho kama tunavyo aminishwa!
Tena siku hizi mazingira ya malezi ni rahisi kuliko miaka ya zamani ambapo wazazi walikua wana watoto mpaka 12!
Usiogope Hannah, mtoto akisha zaliwa anakuwa wakwetu wote.
 
Kuna dawa mfano letrozole hizi zinatumika kutibu mzunguko usioeleweka na PCOS…. Hizi dawa ukizitumia ukipevusha unapevusha mayai mengi ila inashauriwa uwe na uangalizi wa karibu wa daktari wa wanawake maana unaweza uka conceive mapacha hata sita ila wakawa wana kasoro.
Ooh kumbe🤔🤔
 
Wanasema kuzaa sio kazi ila kulea, ila ukweli kulea sio kazi kiasi hicho kama tunavyo aminishwa!
Tena siku hizi mazingira ya malezi ni rahisi kuliko miaka ya zamani ambapo wazazi walikua wana watoto mpaka 12!
Usiogope Hannah, mtoto akisha zaliwa anakuwa wakwetu wote.

Sawa ndugu tuombeane uzima nitakuletea uncle namba 4 Mungu akipenda.
 
Kweli kabisa ila hili la kuzaa huoni karata ilivyobadilika hapo
Unapanga kuwa na watoto wengi unaishia kuwa na wachache
Kwa kweli mimi sikuwahi kuwaza hili na ninao wanane

Ila natafuta mke wa Tatu sasa kama atanizalia hayo ni majaaliwa
Buloo una moto asee...hizi dini za weupe mie cjui zinanipumbaza...karoho kanagoma kutafuta second waifu
 
Wanasema kuzaa sio kazi ila kulea, ila ukweli kulea sio kazi kiasi hicho kama tunavyo aminishwa!
Tena siku hizi mazingira ya malezi ni rahisi kuliko miaka ya zamani ambapo wazazi walikua wana watoto mpaka 12!
Usiogope Hannah, mtoto akisha zaliwa anakuwa wakwetu wote.
Mwambie huyo aache uoga kila mtu anarizki yake
 
Back
Top Bottom