Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,360
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pambana...Nataka mapacha, wawili tu..nipe ramani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pambana...Nataka mapacha, wawili tu..nipe ramani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Punguza makasiriko enjoy maisha sio shida tu 😅Kuzimu
Sina vinasaba sasa, hilo ndio tatizo!🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pambana...
Mbona kawaida tu .Teh teh teh [emoji2][emoji2] una first 11 na sub mbili
Kwenye familia yetu mapacha kawaida tu na ktk wanaume tulivyozaliwa mim ndie nina wachacheDuh!...una nyota ya mapacha
Siku hizi si kuna kupandikiza?[emoji28]Sina vinasaba sasa, hilo ndio tatizo![emoji1787]
Nilitaka kuandika jambo ila wewe huwa naona aibu kwako🤣🤣Siku hizi si kuna kupandikiza?[emoji28]
Akili za mtu mweusiElon Musk, tajiri no 1 duniani ni muafrika? C ana known 9 kids now?
Kweli kabisa ila hili la kuzaa huoni karata ilivyobadilika hapoTunapopanga jambo kifo tunakiweka constant. Wote tutakufa lakini haizuii kuipanga kesho yetu.
[emoji2][emoji2][emoji2]Nilitaka kuandika jambo ila wewe huwa naona aibu kwako[emoji1787][emoji1787]
Ila mtoto wa "kutafuta" ana raha yake.
wanasema ukishakuza kuza unasahau unataka kurudi tenaleba mimi hapana kwa kweliKumbe tuko wengi?? Me napenda nizae mara moja bas kazi imeisha
HePunguza makasiriko enjoy maisha sio shida tu 😅
wanasema ukishakuza kuza unasahau unataka kurudi tenaleba mimi hapana kwa kweli
4 tu wanatosha,mwenyezi mungu atubariki uzao kwenye uzao wetu
nipo kipenzi,siku hizi huku naingia kwa manati kwel ila itabidi tutafutane chembaShoga angu upo?? Ndio unalea mwenzetu umenisusa?!!
nipo kipenzi,siku hizi huku naingia kwa manati kwel ila itabidi tutafutane chemba
ukiingia utaelewa tu somoKweli?? Bas kuna raha uko mbona wengine wanatutish sasa [emoji2368]
[emoji38][emoji38]kwanini za uzazi sasa shoga angu,tutapeana nyingineOkay, nakusubiri mai furendi [emoji4][emoji4][emoji4]
Uje unipe tips za uzazi na me nataka kuunga tela [emoji23][emoji23][emoji23]
Usiishie wasio gawanyika! Fanya wanne bwana.