Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Unaijua mimba mdogo wangu au unaisikia?? Acha kabisa .unatapika hadi unatamani kutapika dunia yote yaani ovyo ovyo unajiskia.
Acheni tu mama aitwe mama

Usinambie [emoji15][emoji15][emoji15]
Ko hiyo hali inaendelea mpk siku ya kujifungua?? Aiseee!! Km hivo ngoja nikitulize [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom