umeota nini leo?

umeota nini leo?

Dah!!! Leo nimemuota mwanaJF moja huwa nampendaga kwa moyo ila akili inagoma. Kuna siku naye alinambia kuwa kaniota.....

Duh ngoja niishawishi akili ikubali make limoyo langu ndo lishamdondokea thou huwa siendekezi moyo kha!!!!!!!
 
Nimuota watu8,Filipo na Arushaone Wakinionea huruma mapangoni
 
gas usiku unamuuzia nani? Ama unamaanisha jioni? Au uko tunduma?

Nyie huwa mnaziita shell...kwani usiku magari hayatembei??? weekend ndio tunazichanga mbaya za walevi na kuwawekea upepo.
 
jana usiku nimeota nilikuwa nacheza na nyani weupeee nikataaka niwafuge,nikaota meli inakimbia sana baharini ikagonga mwamba ikatoka nje ya maji kumbe ina matairi ikaendeleza mwendo ikagonga watoto wadogo wawili sijui ina maana gani kwa kweli. Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaha
Kuwa muwazi tu,funguka,twambie usiku wa kuamkia leo umeota nini?
Bishanga nimeota gfsonwin ananitongoza,nikamtolea nje kudadadeki,chezeiya bishanga mi natoka na wanawake wa kitasha tu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom