Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Upo kiongozi? Happy new year!
Nipo kapistrano mwaka uko poa kabisa ndio tunalisongesha taratibu!
Vip pande hizo?
Last edited by a moderator:
Upo kiongozi? Happy new year!
hahaha nami nauliza tu....
BTW: waendeleaje??
nalala mchana...usiku huwa nakua macho, nafanya kazi Gas Station!
Nilikuwa napita Jukwaa la Jokes nkakutana na hii kitu ya Jaguar nkacheka sana aisee
Najua kuna watu huwa hamuendi kule hebu muwe mnapita kabla ya kuanza kazi!
Copy kwa marejesho Kipipi Bishanga Mamndenyi Mr Rocky nivea Lily Flower Mungi Arushaone Arabela Dark City KOKUTONA YNNAH snowhite FP TANMO watu8 Chimbuvu Baba V na King'asti wengine karibuni
Frankly nililala masaa mawili tuu na nikaota mwanangua amekuwa mkuubwa anatembea, anakimbia na aanaongea nikampa buku akanunue vocha dukani, na akaenda akaniletea na akanambia "mama nipe simu nikuwekee vocha basi" nikahtuka sikulala teena hadi kunakucha

kuliko Vin Diesel?Hahahahaha, Bishanga una vituko wewe lol
you mean koku alisahau kusafiri na vitendea kazi?
Bishanga yamekuwa hayo.
Ananiandama sana huyu jamaa...mke nimewaachia ila bado tu..
Vin Diesel ina maana mlikuwa mnamgombea secretary.