umeota nini leo?

umeota nini leo?

khaaaa! Bishanga eti umeota nakutongoza mimi kabsaaa ama mwigiiiiiiine??

utajibeba mwaka huu na ole wako PM yangu uitolee nje utanikoma lol!!
 
Last edited by a moderator:
Nimesahau ila muda si mrefu nilikuwa naota
 
bora wewe, mie hata sikumbuki kama nimeota au sijaota... uncle Bishanga sasa ndoto yako iliishia wapi?
Hahahaaaa sasa wewe inakupasa ule matango kwa wingi coz huo ni ugonjwa mwingine

Mzima kijana?
 
Last edited by a moderator:
Nimeota mkonge Mmoja kichwani, ila nadhani nitaanza kuumwagilia maji leo.
 
Nimeota na mapesa mengi kama mobutu seseseko kuku wazabanga ndio nilikuwa kwenye mkutano na management ya wizara ya ardhi waniuzie mikumi yote ndio ile nataka kudondoka sign tu alarm ya simu ikaita saa 12 asubuhi nikastuka!
 
Sijalala...

He! watu8 uwe unawaomba wakupe muda wa kulala bhana! Wanataka ukifika uzeeni uwe unaangalia tu bila kula. Bakiza akiba ya uzeeni.

Haya kalale sasa!
 
Last edited by a moderator:
He! watu8 uwe unawaomba wakupe muda wa kulala bhana! Wanataka ukifika uzeeni uwe unaangalia tu bila kula. Bakiza akiba ya uzeeni.

Haya kalale sasa!

Hahaha...
 
Last edited by a moderator:
khaaaa! Bishanga eti umeota nakutongoza mimi kabsaaa ama mwigiiiiiiine??

utajibeba mwaka huu na ole wako PM yangu uitolee nje utanikoma lol!!
ona sasa,lahaula,kumbe nakuniPM umeniPM kabisa,inasemaje hiyo piem,embu nikaisome nirudi hapa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom