umeota nini leo?

umeota nini leo?

Hapana...yeye alijiunga na nitonye kumchukua sweetlady...nikawaachia ila naona bado wanataka kuniharibia mpaka kwako.

Mamndenyi una busara na hekima kama za suleimani kweli adui muombee njaa atanyoosha mikono hata kama alikuwa shujaa. Afu samahani naomba namba yako ya simu kuna jambo nataka nikwambie.
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi una busara na hekima kama za suleimani kweli adui muombee njaa atanyoosha mikono hata kama alikuwa shujaa. Afu samahani naomba namba yako ya simu kuna jambo nataka nikwambie.

Narudi kukuonya hayo mambo yako ya kuzoea wake za watu yatakugharimu....nitakushusha mshipa mwaka huu Slave.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom