Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Nimeota mkonge Mmoja kichwani, ila nadhani nitaanza kuumwagilia maji leo.
Nikuletee mbolea ya chumvi chumvi?.
Nimeota mkonge Mmoja kichwani, ila nadhani nitaanza kuumwagilia maji leo.
ndoto yako na itimie ,Nimeota na mapesa mengi kama mobutu seseseko kuku wazabanga ndio nilikuwa kwenye mkutano na management ya wizara ya ardhi waniuzie mikumi yote ndio ile nataka kudondoka sign tu alarm ya simu ikaita saa 12 asubuhi nikastuka!
umekesha makaburini? Kulikoni?
Kuna mtu kakuchukulia mke unataka ummalize?
hongera sana maana enzi zako kuna siku ulinitupia PM nikasema dah hii reggae.
Hahahaaa dogo kawa Paroko wa ChitChat!
Msimu wa ndoto umefika?
Wachaga watatu walikuwa wakimiliki maduka yaliyoungana katika jengo moja ila milango mitatu tofauti.
Mlango wa kushoto SHIRIMA kaandika 'BEST DEALS'.
Mlango wa kulia MREMA kaandika mlangoni 'LOW PRICES'.
Mlango wa kati,MASAWE akaona akizubaa hawa wajinga watampiga bao,nae akaandika mlangoni 'MAIN ENTRANCE'.
nalala mchana...usiku huwa nakua macho, nafanya kazi Gas Station!
Nikuletee mbolea ya chumvi chumvi?.
Nimeota mkonge Mmoja kichwani, ila nadhani nitaanza kuumwagilia maji leo.