Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

Keyboard_Warrior

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
6,350
Reaction score
11,168
Usiku wa kuamkia leo, Ukraine imefanikiwa kufanya shambulizi kubwa la drones na kufanikiwa kupiga mitambo ya nishati ya mafuta katika jiji la Moscow, ndio sijakosea jiji la Moscow?

Mimi binafsi sikuwahi kufikiria kuwa tutafika huku kwenye hii vita

Kwasasa Putin ana machaguo mawili tu, chaguo la kwanza ni kukubali kusitisha vita dhidi ya Ukraine.

Chaguo la pili ni kuwapiga wanaomsaidia Ukraine, yaani kutanua vita, sina uhakika na uwezo wake katika hili chaguo la pili.

Nini mtazamo wako katika hili?

Putin alikurupuka, alizichanga vibaya karata zake!?

Anavukaje kwenye hii aibu inayoelekea kumkabiri!?

Screenshot_2026-09-20-13-18-45-94_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

HSpG4pXXsAAym88.jpeg
 
Usiku wa kuamkia leo, Ukraine imefanikiwa kufanya shambulizi kubwa la drones na kufanikiwa kupiga mitambo ya nishati ya mafuta katika jiji la Moscow, ndio sijakosea jiji la Moscow?

Mimi binafsi sikuwahi kufikiria kuwa tutafika huku kwenye hii vita

Kwasasa Putin ana machaguo mawili tu, chaguo la kwanza ni kukubali kusitisha vita dhidi ya Ukraine.

Chaguo la pili ni kuwapiga wanaomsaidia Ukraine, yaani kutanua vita, sina uhakika na uwezo wake katika hili chaguo la pili.

Nini mtazamo wako katika hili?

Putin alikurupuka, alizichanga vibaya karata zake!?

Anavukaje kwenye hii aibu inayoelekea kumkabiri!?
Akisitisha ni aibu akitanua ni aibu pia
 
Lilikuwa kosa la wazi kabisa.
 
Ni superpower.
Ni vile amenasa tu kwenye mtego, Wamarekani wabaya sana aisee!!!
Kisa hilo shambulizi la drone ndipo useme amenasa mtegoni?

Hivi unafahamu Russia hadi sasa inazalisha silaha kwa wingi zaidi kuliko uzalishaji wa nchi zote hapo Ulaya...? Risasi, makombora, magari n.k...
 
Punguzeni ushabiki wakuu.
Kuzalisha siraha hakuondoi ukweli kuwa Russia anapata hasara kubwa kutokana na mashambulizi ya Ukraine. Uzalishaji wa siraha sio excuse.
 
Back
Top Bottom