kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
Kui Shostito....bebe nzogo kono twibelegeje
Shostito, hapa umenizidi...lol!, please go easy!
Kui Shostito....bebe nzogo kono twibelegeje
ooh come on cuzzo (you're my cousin, remember?) we agree on working out and being in shape, don't we?
Pia wanajua sana sana kupika nilikula ugali uliopikwa na msukuma kwa matembele na nyama ya ng'ombe (chukuchuku=haina nyanya wala vitunguu) yaani sikuwahi kula nyama tamu kama ile na matembele mazuri sana. Hawa wanawake pia wana adabu za hali ya juu.
Shostito, hapa umenizidi...lol!, please go easy!
wewe, we need to meet at the gym, tufuaneeeee mpaka kieleweke!, that's when you'll know am a REAL SUKUMA AND PROUD TO BE ONE
Cho. bhebhe ng'wanike nakolekagaga lolo na basukuma bhako!.bebe Yegomasika nang'ho.............nilekage unene na basukuma bane......LOL!
ok, i'm game...so bring it on cuzzo. manake najua basukuma wako tough sana. sasa tutaona kama kweli wewe ni chapa ng'ombe au ni maneno tu.
Cho. bhebhe ng'wanike nakolekagaga lolo na basukuma bhako!.
Cho. bhebhe ng'wanike nakolekagaga lolo na basukuma bhako!.
Wanna make a deal?
Naongelea Msukuma aliyezaliwa huko na pia mwenye makuzi ya kisukuma pyua!msukuma jina au msukuma halisi?wengine ni wasukuma jina(baba na mama wasukuma) yy kazaliwa dar,kakulia dar hana hata chembe ya usukuma huyu ni msukuma jina. mwingine kazaliwa na kukulia usukumani ana tabia na utamaduni wa kisukuma,nafikiri hawa wote ni wasukuma lakini ukioa hapa unaoa watu wa aina mbili tofauti,je PAKAJIMMY unazungumzia msukuma gani?
Hapo umepiga Ikulu ''Mwanangwa''.
Usukumani ukiuliza njia kama umepotea huko vijijini wanakushauri ukae chini uwaeleze kwa kirefu unapotoka na unakokwenda.
Wakiona ni mbali sana kwa muda huo, wanakushauri ulale hapo kwao ili uendelee na safari yako kesho yake. Basi hapo utakula, utaoga na utalala. Hata kama utalala kwenye ngozi lakini ule ukarimu tu unatosha kukuonyesha kwamba umefika kwenye jamii ya watu wastaraabu.
Makabila yote yana shortfalls fulanifulani, kwahiyo mtu asijione duni kuwa katika kabila fulani, au kuambiwa jambo fulani linaloudhi wengine juu ya kabila lake!..Mimi pia,najivunia kuwa Msumkuma aisee
Makabila yote yana shortfalls fulanifulani, kwahiyo mtu asijione duni kuwa katika kabila fulani, au kuambiwa jambo fulani linaloudhi wengine juu ya kabila lake!..
Mtu anayedharau kabila lake au kule alikotoka, basi huyo ana shida kubwa ya akili!
Big Up Mkuu kwa kuweka wazi juu ya hisia zako kwa kabila lako, nami natangaza hapa kwamba nalipenda saana kabila langu!
Mimi bahati mbaya niko mbali na mikoa ya kanda ya ziwa wanakopatikana wasukuma kwa wingi.Bahati nzuri jirani zangu ni wasukuma,sijawahi kuona wasichana vicheche kama wasukuma tena wanapenda kutembea na wanaume walioa wanachojali sana ni pochi yako tu.Labda tabia zao zimeathiriwa na malezi au kukaa mbali na sehemu ya asili ya wazazi wao.
Kitu kingine nilichojifunza kwa majirani zangu wa kisukuma ni kupenda ushirikina kupita kiasi.Kila baada ya muda mfupi kupita lazima walete mganga kutoka usukumani.
Tabia nyingine mbaya ya wasukuma ni ndugu jamaa na marafiki kujazana nyumbani,Pakajimmy ukioa msukuma jiandae kujenga nyumba kubwa kwaajili ya kupokea ndugu na marafiki kutoka ukweni.
nimeolewa usukumani, hilo unalosema ni kweli kabisa, yaani vyasaka noma.
Mim siijui mila hata moja ya kabila yetu na hata kuongea hiyo lugha sifahamu.Iam born town na nimekulia tauni.Mambo ya makabila siyamind Kwa hiyo kila kabila kwangu ni poa tu,hata wachina na wajapan sawa tu.Makabila yote yana shortfalls fulanifulani, kwahiyo mtu asijione duni kuwa katika kabila fulani, au kuambiwa jambo fulani linaloudhi wengine juu ya kabila lake!..
Mtu anayedharau kabila lake au kule alikotoka, basi huyo ana shida kubwa ya akili!
Big Up Mkuu kwa kuweka wazi juu ya hisia zako kwa kabila lako, nami natangaza hapa kwamba nalipenda saana kabila langu!
He! Leo umeamkia upande gani?Mim siijui mila hata moja ya kabila yetu na hata kuongea hiyo lugha sifahamu.Iam born town na nimekulia tauni.Mambo ya makabila siyamind Kwa hiyo kila kabila kwangu ni poa tu,hata wachina na wajapan sawa tu.