Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,362
- 4,934
vipi yale mambo ya kila wiki ngomani?pakajimmy,
wanawake wa kisukuma
- ni wenye kuheshimu sana waume zao na wanaume kwa ujumla
- ni wachapa kazi sana
- ni wakarimu sana
- ni watiifu
- ni wenye ujuzi na mambo ya kujenga familia (wamefundwa)
- ni wazuri kimaumbile
- ni wajuzi wa kumridhisha mwanamume katika kila hali
duh tabu duh shida!
Nasikia wasukuma wanapenda sana ngoma kiasi kwamba hata wakiwa wanalima au wanatwanga lazima ngoma zipigwe sana.
Naogopa kuoa mwanamke ambaye atakuwa anafuata ngoma umbali wa zaidi ya maili mia moja.