Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 755
Mhh naomba kuuliza hivi Teddy Kalonga na Miriam Gerald ni wenyeji wa wapi vile????
Sijawahi kuona tatizo lolote kwenye tabia ya Teddy Kalonga! Labda kuwa maarufu ni sehemu ya tabia mbaya hapo sawa!
I dought Miriam Gerald's credentials as a Sukuma. Sio kila mtu anayeishi Mwanza ni Msukumua. Yawezekana wazazi wake wanaishi na kufanya kazi Mwanza lakini sio Wasukuma!