bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,880
hehehehee.,......mi simo!😀😀
na utakuwemo
hahaaaaa utajibebaaaaaaaaaa!!!
wa ukweli mbona kule nimekwambi ninahamu na wewe ukanichunia??
hutaki eeeh!!!!
hehehehee.,......mi simo!😀😀
Taratibu dada. Utawakimbizia dada zangu wote usukumani! LOLZ!
Mfia nchi nimekuweka kiporo.....will eat you when am starving!!!
tuendeleeeeeeee
Its Friday remember..........!!! Ukiniweka kiporo kitachaha!!! 🙂
Na hapo ndipo sisi wafia nchi tunaposema, Tanzania is a dying nation. Tunapoteza CULTURE yetu na ndio basi tena! Unakuta mtu anaitwa Miriam Gerald....sasa unajiuliza huyu ni mzungu au mwarabu? Hana identity!
Hata mzungu aliyetoka ughaibuni kuja hapa kutalii ukikutana naye unamwambia wewe unaitwa Josephine Williams anakucheka kimoyo moyo! Hata kama unaishi mjini basi angalau jina lako liwe na identity ya asili yako...!!! Na ndipo umuhimu wa kujua japo 'basics' za kabila lako na asili yake linakuwa la muhimu!
Amen..........
dada aendeleaje lakini??
unajua ni nini chriss, mie nilikuwa cna ndoto hata cku moja ya kuolewa na mchaga mwenzangu, mna mtazamo tofauti sana linapokuja suala la kifamilia, nawajua vizuri kaka zangu,huwezi okota kijiko manka alichokiangusha ukidhani sio wajibu wako ni wa mkeo, yaani mnapenda kutawala wake zenu sana,(mnapenda kuabudiwa) usukumani hilo halipo, mie mr anaweza kumuogesha mtoto, leo akaniambia anisaidie kupika etc, kwake ni vitu vya kawaida na ni mapenzi kunisaidia, lakini nyie kaka zangu otee kabisa hamuwezi....ndio mana namkimbizia bht huku.....

anaendelea poa sana, jana ucku nimemcal anasema anamaizia matibabu then arudi kuendelea kutafuta ugali lakini ndoa kashaizika......

Tatizo la wanawake wa mjini akifanyiwa yote hayo anasema kapata mume b'wege!!! 🙂

there you are sweet sisy
Umangi nani anataka bana...................
acha tuolewe na magentlemen bwana, wao hata kifuli zetu hawataki kuosha, hawajui hiyo ni chachandu tu ya mapenzi!!!!!!!
Tatizo la wanawake wa mjini akifanyiwa yote hayo anasema kapata mume b'wege!!! 🙂
Na mimi Nyamayao nikimbizie huko.Nitafutie wa huko usukumani. kwa mtaji huu hawa wachga naona kama watanilostisha.

Hey wanandugu,
Binafsi sijabahatika kufika usukumani, lakini pia sijapata kuwa na ukaribu na mwanadada wa kabila hili...!
Je watu hawa wana nini cha ziada, nijulisheni kwa faida ya wadogo zangu na waoaji wengine!