Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Kuna mshikaji wangu mmoja kaoa msukuma ana wivu kama nini! Sijui ndo mapenzi yenyewe? Mpaka dogo anakosa amani kabisa kwa jnsi anavyofuatiliwa!
Kuna mshikaji wangu mmoja kaoa msukuma ana wivu kama nini! Sijui ndo mapenzi yenyewe? Mpaka dogo anakosa amani kabisa kwa jnsi anavyofuatiliwa!
kakaange alisha oa lakini wifi si msukuma............Unampango wa kuoa huko nini,naona unafanya kautafiti kadogo.
mmalize kuwajadili hao dadazenu (wifi zangu) afu tufungue mjadala wa waume zetu wasukuma....watu watoe credit hapa!!!!
Raha ya msukuma wewe kaoe Mnyantunzu bwana, wana utani hao mpaka unafurahia mwenyewe. Hawa wako Bariadi huko ndanindani, Majahida, Kilulu nk.Kadili ya desturi zetu wengi wao wanaheshima, ni wachapa kazi, hawana makuu. Tatizo ni lafudhi ile ya kwetu hata angekaa Zanziibar miaka mia itabaki ni ile ile. Jambo jingine ni kuwa kama ni muda wa utani wanatania kwelikweli hadi raha. So best they are cute and smart ingawa exeptions hazikosi. By the way sina maana kuwa nimemuoa msukuma ila katika kukua kwangu nimewafahamu kwa muda kitambo!
kwani makabila mengine hawafui??????Kingine wanawake wa Kisukuma sio wabishi wanajua wajibu wao kama mama.
Wanafua kufuli zao na za waume zao si wabishi pale mnapo pangiana majukumu.
Raha ya msukuma wewe kaoe Mnyantunzu bwana, wana utani hao mpaka unafurahia mwenyewe. Hawa wako Bariadi huko ndanindani, Majahida, Kilulu nk.
Nafikiri kwa swala la wazungu wenyewe hujileta sana sana pale Bujora ni hawo wenyewe wazungu huwa papatikia wanaume wa kisukuma kutokana na minguvuwaliyonayo wakiamini watawafikisha kileleni.Mhhh hii kali..Ni wasukuma wa wapi hao unawazungumzia waenda kwa waganga???,heheeeeee
Kuhusu wazungu,nadhani wao ndo huwapenda wamama wakisukuma kwa tabia na uasili wao(si unajua wazungu hawapendi mambo ya mkorogo)
Wasukuma kwa ujumla wana sifa zifuatazo;
Wakarimu
Wanaheshimu watu
Wachapakazi
Wacheshi
Kwa nini usoe msukuma?
Mengine utajaza mwenyewe haya kwa kifupi yanatoka kwa ngosha Msukuma toka Shinyanga
Waweja kaka!
Wewe ni wannabe msukuma. Msukuma wa kweli haemi "waweja"
Wewe ni wannabe msukuma. Msukuma wa kweli hasemi "waweja"
O.k, how bout' " wawezya"!
Alaa!, we vipi wewe? you think am kidding? am serious, mi sukuma original, both parents!, we unafikiri uko mwenyewe?get outta here...