Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Duh, babu kweli unao wengi, yaani ulishasahau hata ukaguzi ulionifanya lol!
Ukaguzi nlokufanyia hauna uhusiano na maswali wakati wa tendo la uumbaji.
Duh, babu kweli unao wengi, yaani ulishasahau hata ukaguzi ulionifanya lol!
Ukaguzi nlokufanyia hauna uhusiano na maswali wakati wa tendo la uumbaji.
Toka umeanza kufanya mapenzi mimi ni mwanamke wako wa ngapi!
Bby mbona uko bizy? bby mbona haujibu sms zangu? bby mbona haupokei simu, uko na nan?
hapa huwa nachukia sana.......afu unakuta missed call 78, sms 10......dah. Najiuliza nimekosea kutokujua medical history yake kwanza.
hahaaa!! i was born there.. afu nataka nikupe assignment moja promiseme!..
juyo rafiki yangu nnaekwambia yuko kwenye 30's
uko wapi?....
baby nirushie ka laki basi,
ume-enjoy??
uko wapi?....
Mbona hukupokea simu yangu?
mbona kubwa hivo?
Mbona hukupokea simu yangu?