Umenipendea nini?

Umenipendea nini?

Et kat yangu na hyo wa zaman unampenda nan! Ah et nalo swal nisingekuwa nakupenda tungekuwa wote?
 
Nifanye nini ujue nakupenda"Nachukia sana hili swal,kwan unashndwa kujiongeza mwenyew nkajua kama unanipenda au lah"!Au ndo kutokijisimamia?
 
Raha sana eeh...yah, huyo ni mimi, je wewe hupendi swali gani na unapenda kumuuliza nini shemeji?

Hapa tayari umeshaniboa bcoz sipendi maswali.
Shemeji my ass...am not actress lol!
 
Sipendi kuulizwa "Hivi nani aliyekufundisha kufanya namna hii?" au "gf wako wa zamani alikuwa anafanyaje ili kukuridhisha?"
 
Tupo geto tumeshajiandaa, ninaanza kushusha suruali unaniuliza, UNATAKA KUFANYA NINI?!!, Nahate sana hili swali.
 
Tupo geto tumeshajiandaa, ninaanza kushusha suruali unaniuliza, UNATAKA KUFANYA NINI?!!, Nahate sana hili swali.

Mr sex for sureman nijana tu mchepuko wangu mmmoko hv waktaa tumefka nje gest tuzame anahoj tumekuja kuhamia nn nusura nimwache niwashe usafr ntambae lkn kwa busara nikamrudsha hom kwao buullshiit
 
Unaishi na wazazi wako au peke yako? Hiyo nyumba umepanga au yako? Una gari ngapi? Kwenu mmezaliwa wangapi? Wangapi wako majuu? Unapenda mwanamke wako aweje? Huyo wa mwanzo alikuwaje? Nikikupenda utanipendaje?
Waaah!!! Maswali yote haya!! Lazima awe ni polisi tu.
 
PIN yako ya simu ni nini baby? Kwani mi na wewe tuna siri gani mpaka unifiche ur pin?
 
Back
Top Bottom