tatu mara tatu!Nikugegede mara ngapi?
Bby mbona uko bizy? bby mbona haujibu sms zangu? bby mbona haupokei simu, uko na nan?
hapa huwa nachukia sana.......afu unakuta missed call 78, sms 10......dah. Najiuliza nimekosea kutokujua medical history yake kwanza.
ndio nakupenda
au ...""baby sijaziona siku zangu!!!""
Hivi huu ni wivu au matatizo ya akili mkuu..u have made my morning ahhahahahaaha
Sipendi kuulizwa 'ushakuwa na wanaume wangapi kabla yangu??