Mhh...Huyo bila shaka atakuwa ni miss ChaggaJe mwezi huu umeingiza shilingi ngapi.
Mhh...Huyo bila shaka atakuwa ni miss ChaggaJe mwezi huu umeingiza shilingi ngapi.
hahahhahaha daaaah kweli mapenzi yanawatu..ulikuwa unamjibu nini?hahhaha
ndio maana you so lovely.....mimi najiamini 100%
ndio maana you so lovely.....
utasikia ukinisaliti mungu akufanye nini?
maswali ya kijinga haya aisee
yaani by nature i hate maswali
Lakini jaman sometimes maswali yanasaidia kumsoma mtu vizuri kama kichwa chake kinafanya kaz au kimelala...ukiona mtu anajibu "sijui ,sijui , kwanini umeuliza? bwana mi sitaki maswali," weka mashaka.....that nice mamy hata mimi huwa sipendi kabisa hasanikiwa akili inamawazo
Nitaishia kuondoka kuepusha shar ..swali ganni wanaume wangap walishakufikisha kileleni tangu uanze uhusiano?
Excel unayakumbuka hayo maswali eeh!!! lolwatoto wa mapolisi utawajua tu...
Bora mpenzi aulize swali lolote. Yaani unakutana na jitu tu huko unaliambia ninafanya kazi ofisi fulani, linakuuliza wanakulipa sh ngapi? Khaaa!
hahahaha..lol, umenichekesha sana ram, yaani katikati ya gem, anastop kabisa na kuuliza, " baby vipi, umeshakojoa?" hapo wee unataka azidi kusugua...duuuh!!Niliwahi kuwa na mpenzi wangu mmoja miaka hiyo ya ujana, lol!
Hakika alikwa ananiudhi na swali lake umekojoa! kila mkikutana kwenye gemu lazima tukiwa kaktikati mambo ndo yamenoga, ana stop, umeshakojoa! agrrrriiiiii! hakuna swali silipendi kama hili
anataka kujua utarudi kwa wangapi, si unajua "watalaka" hawatongozani.Sipendi kuulizwa 'ushakuwa na wanaume wangapi kabla yangu??
that nice mamy hata mimi huwa sipendi kabisa hasanikiwa akili inamawazo