Umenipendea nini?

Umenipendea nini?

Niliwahi kuwa na mpenzi wangu mmoja miaka hiyo ya ujana, lol!
Hakika alikwa ananiudhi na swali lake umekojoa! kila mkikutana kwenye gemu lazima tukiwa kaktikati mambo ndo yamenoga, ana stop, umeshakojoa! agrrrriiiiii! hakuna swali silipendi kama hili
 
Baby mambo yako yatakamilika lini twende nyumbani??!!!, hv hny hutabadilisha mawazo kweli???
 
Najua mu wazima,

Umenipendea nini?
kwa sababu haunisumbui kwenye mgegedo, huombi hela, hukagui simu yangu, ukinifumania unapeleleza kwanza kama kweli tulikua tunafanya au tunafanya kimauongo, kwe kweli we zaidi ya wote!
 
Nami huwa nauliza uliza dikembe

Japo mie sipendi kuulizwa kwakweli, eti swali kwanini umeachana na mwanaume uliyekuwa nae.. lol! Nikishakuambia iweje au mimi ni mwanaume wako wa ngapi, hivi ukitokea ukapata mimba utaitoa? maswali gani sasa haya

Wew huchukizwi na maswali? hebu weka yako nasisi tucheke? au ndio yale umevaa nini? hahahaha
 
Last edited by a moderator:
Kuna signature ya Heaven on Earth ilikuwa na ujumbe mzuri sana kuhusu hilo swali.
Kwamba haijalishi mtu ameshakuwa na watu wangapi au wa aina gani, kilichopo kama nakupenda kwa sasa yatosha, hayo mengine sio kitu.

Japo kwa wanaume wengi jambo la history linawasumbua sana, japo hata wao sio kwamba wana record safi ila wanafikiri kwa mwanamke ni mbaya kuliko kwa mwanaume. Kama unataka record safi hakikisha na yako ni safi. Japo haimaanishi kwamba ndio mtakua na mikwaruzo michache au mambo yatakua tambarare.

my number will always be less
 
mmmh! nakataa kuwa ni tabia ya mtu, ni utoto huo maana mtu mwenye akili zilizo komaaa hawezi kujitase hivyo na kuwa mtumwa wa mapenzi kiasi hiko,mwanaume hata umbaneje akiamua kuchepuka atachepuka tu na hutajua fanya yako kwenye mahusiano kuwa huru nae awe huru sio kubanana km watoto,maisha yanamambo mengi ya kufanya sio mapenzi tu saa zote

juyo rafiki yangu nnaekwambia yuko kwenye 30's
 
Niliwahi kuwa na mpenzi wangu mmoja miaka hiyo ya ujana, lol!
Hakika alikwa ananiudhi na swali lake umekojoa! kila mkikutana kwenye gemu lazima tukiwa kaktikati mambo ndo yamenoga, ana stop, umeshakojoa! agrrrriiiiii! hakuna swali silipendi kama hili

Hahahahahahahaaa

Siku zote mi nlikuwa najua wewe ni bikira. lahaula lakwata.
 
Mh !asa mnapenda kuulizwa maswali gani kwa mfano.
 
Wala sio utoto ndugu yangu ni tabia ya mtu, mimi nina rafiki yangu yuko hivyo mpaka nilishamwambia wewe ndo mana huwezi kudumu na mtu sababu wanaume hawapendi kutafutwa kiasi hicho yani hampi mwanaume muda wa kummisi ni kuuuutwa simu na msg nikimsema atajitahidi kuacha siku 1 au 2 anarudia tena

Mi ndo maana siwezi kumiliki simu isiyokuwa na option ya kumblock mtu. Baaas.
 
i hate this question with all ma heart yani huwa nashindwa jieleza ... nikikwama nasema napenda pesa zako, napenda tembea yako napenda macho yako ila napenda kukuona zaidi ukitafuta pesa
 
Niliwahi kuwa na mpenzi wangu mmoja miaka hiyo ya ujana, lol!
Hakika alikwa ananiudhi na swali lake umekojoa! kila mkikutana kwenye gemu lazima tukiwa kaktikati mambo ndo yamenoga, ana stop, umeshakojoa! agrrrriiiiii! hakuna swali silipendi kama hili

sasa si bora huyo mwingine kila saa anakuuliza "unasikiaje"
 
Nami huwa nauliza uliza dikembe

Japo mie sipendi kuulizwa kwakweli, eti swali kwanini umeachana na mwanaume uliyekuwa nae.. lol! Nikishakuambia iweje au mimi ni mwanaume wako wa ngapi, hivi ukitokea ukapata mimba utaitoa? maswali gani sasa haya
Maswali mengi yanachosha sana...haya ya siku hizi baada ya kukua kwa technology utaskia, ntumie picha yako basi(whats app)...hahaha..najua nawagusa wengi
 
Bby mbona uko bizy? bby mbona haujibu sms zangu? bby mbona haupokei simu, uko na nan?
hapa huwa nachukia sana.......afu unakuta missed call 78, sms 10......dah. Najiuliza nimekosea kutokujua medical history yake kwanza.

its real real bad kwa kweli
 
Maswali mengi yanachosha sana...haya ya siku hizi baada ya kukua kwa technology utaskia, ntumie picha yako basi(whats app)...hahaha..najua nawagusa wengi

oooooh sasa hapo si sawa inabidi umtumie tu
 
Back
Top Bottom