Umenipendea nini?

Umenipendea nini?

basi hujisikiaga vizuri sana tunapojibiwa hilo swali tena pale unapopata mtu ataeongeza na nakshi za kukusifia. wanawake tunapenda kusifiwa, so yawezekana unakaa mda mrefu sana bila kumsifia ndio maana anatafuta maswali ambayo yatapelekea asifiwe. na kama ni kweli unampenda kwa dhati mbona hilo swali halina shida kujibu. learn how to treat a woman...!!!!! akipata mtu wa kumsifia huko nje umempoteza. ujue tu wapo wanaume huko nje wanaosubiri waulizwe hlo swali ili waanze kumwaga sababu zao za kweli na uongo hukohuko
 
Unaishi na wazazi wako au peke yako? Hiyo nyumba umepanga au yako? Una gari ngapi? Kwenu mmezaliwa wangapi? Wangapi wako majuu? Unapenda mwanamke wako aweje? Huyo wa mwanzo alikuwaje? Nikikupenda utanipendaje?

bby utanipeleka lini kwa mama yako?
 
Bby unapenda kupiga vingapi!!?
Eti bby unasikia baridi xna..!!?
Bby nimpenda simu yako utaniachia nitumie tumie..
 
Tupo geto tumeshajiandaa, ninaanza kushusha suruali unaniuliza, UNATAKA KUFANYA NINI?!!, Nahate sana hili swali.

Cheki wengine" bby mim cjawahi kufanyaga alfu kwa aibu akiangalia chini unajua umepata..hapo unajitaarisha kula sealed kumbe bwawa na maji mbya..
 
!
!
kwa swali hilo essay yake inapita gazeti la the citizen....nushuka nae mpaka akome,unywele page tatu,macho page mbili,lipsi page nne meno....aisee nahitaji zaidi ya rim mbili kujibu hilo au dvd ka tatu hivi kwa audio ila maelezo yote yatakuwa ya kichina
 
!
!
kwa swali hilo essay yake inapita gazeti la the citizen....nushuka nae mpaka akome,unywele page tatu,macho page mbili,lipsi page nne meno....aisee nahitaji zaidi ya rim mbili kujibu hilo au dvd ka tatu hivi kwa audio ila maelezo yote yatakuwa ya hu ji ntao au huyu pin ping sijui nani ndugu yake jack cheni
 
Hivi wewe ni kabila gani?
Unafanya kazi gani?
Una mke?
Una Mtoto?
Unanipenda au unataka kunichezea tu?
 
Back
Top Bottom