King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
bandidu kabisaaa:loco:
Siyo jitu bhana ni mtu
Siyo jitu bhana ni mtu
bby mbna huna vogue kama ya PETER?
Screen yangu mbovu
ya wapi bado bikra?
kidole
Najua mu wazima,
Umenipendea nini?
Ni moja ya maswali ambayo sipendi kuulizwa na mpenzi wangu,
Je wewe hupendi swali lipi na unapenda lipi?
utanigegeda lini?? napenda sana hilo swali!
au ...""baby sijaziona siku zangu!!!""
Baby, nikipata mimba utaikubari ????????????
Babe utanioa lini?,
Uliachwa na wangapi?
mbona kubwa hivo?
Unaishi na wazazi wako au peke yako? Hiyo nyumba umepanga au yako? Una gari ngapi? Kwenu mmezaliwa wangapi? Wangapi wako majuu? Unapenda mwanamke wako aweje? Huyo wa mwanzo alikuwaje? Nikikupenda utanipendaje?
Mmmmh,hiyo nayo kujua mmezaliwa wangapi kwenu ni ishuu??duh!!kazi ipo
nyumba isilete stress si unajua ndugu
hahahahah kishindo weye ndo jibu gan hlo?wataka siku ingne usipewe papuch na beibii?Mbona hata wewe una bahari ati!