Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
nikola tesla huyu mgunduzi wa Ac current?
Ndio mkuu.
nikola tesla huyu mgunduzi wa Ac current?
Mbona hii imeshagunduliwa toka zamani, all you need is a laptop, webcam and an internet connection..!Mkuu FRANCIS DA DON wakivumbua uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa wireless unijuze mkuu.. Shemeji yako yuko maili 4000 toka nilipo mie na ninaingia gharama sana kusafiri mara kwa mara kwa ajili ya kutimiza tu tendo hilo..
Ni hilo tu Mkuu..
Mbona hii imeshagunduliwa toka zamani, all you need is a laptop, webcam and an internet connection..!
Mimi naamini kuna umuhimu wa kujijengea utamaduni wa kujisomea na kutafuta taarifa tofauti kuhusu mambo mbalimbali. Kesho mtoto wako mdogo atakuuliza kuhusu "wireless electricity" halafu utajibu kwa kujiamini "HAIWEZEKANI" halafu mtoto akafanya a simple google search na akapata "5,670,000 results!" kuhusu kitu ambacho umeshanena kwamba hakiwezekani.
Tuiepuke hii fedheha,upatikanaji wa taarifa na maarifa umerahisishwa sana siku hizi, tuitumie hii fursa vizuri.
Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-baka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL.
Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-bake yenyewe hadi kufa!
Haiwezekani.

HahahahahaBora wafe tu hawana jipya zaid ya ufisad na rushwa
Sasa wad*ng*nyika or sorry ulimi umeteleza, mnabisha nini, wakati wale mainginia wetu pale mlimani na dit, wameshindwa hata tengeneza mashine ya kutengeneza vile vijiti vya kuchokonolea meno baada ya kula ndafu halafu ati wanajiita maprofesa .. Wacheni ubishi, bhana mbona wireless charger inawezekana???? Ebo
Raha ya mwanasayansi ni pale impossible inapokuwa possible kwa kutumia kichwa chake.
Anapoona watu wanavyoshangaa na kutoa mimacho anapodemonstrate hio product!!
Ni raha zaidi manufacturers wenye akili wanapoichukua na kuiweka sokoni bidhaa!!!
That is the beauty of science. Kurahisisha maisha
Nikola Tesla alikaa chini na kuanza kufanya research ya vipi ataweza kutransmit power wirelessly kabla project haijakamilika alipoteza maisha ilikuwa miaka elfu moja mia nane na kitu ...Natumia program hii bado inaendelea na kwa sasa kumeanza kutokea mambo ya kutransmit power ndogo ndogo kama 5 Voltage wirelessly mfano chaji za simu,,,Tukumbuke Research za kisayansi zina take a lots of time mpaka kuwa completed ...William Gilbert ameanza kujihusisha na umeme 1500 na jina Electricity kalianzisha yeye but mpaka 1831 Michael Faraday ndo akaleta miracle kwa upande Electromagnetism na 1891 Nikola Tesla ndo kaleta Mambo ya Transmission over long distance A.C current ..kwa hio tuwe na subira tu mambo yatakuwa fine