Raha ya mwanasayansi ni pale impossible inapokuwa possible kwa kutumia kichwa chake.
Anapoona watu wanavyoshangaa na kutoa mimacho anapodemonstrate hio product!!
Ni raha zaidi manufacturers wenye akili wanapoichukua na kuiweka sokoni bidhaa!!!
That is the beauty of science. Kurahisisha maisha
Ila Mimi kama physicist bado natilia
shaka wireless transmission ya high
tension electricity kwamba inaweza
kusababisha ionization ya air
molecucules na kusababisha cheche
za moto hewani ikawa kama man-
made lightning jambo ambalo ni
dhahiri kabisa linaweza kujitokeza.
Fikiria spark plug ya gari ndogo, volts
950 zinatosha kutoa cheche za moto
umeme unapovuka kutoka point moja
kwenda nyingine. Kwa hiyo utafiti
huu ni abstract kwa umeme mkubwa
H.T. ambao unahitaji guidance ya
nyaya ili kuepuka air ionization and
hence sparking.