Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
"imposible"haiwezekani kwa umeme!
Mkuu hata kwa sayansi ya darasa la saba tu unaweza kugundua kuwa haiwezekani umeme kuwa wireless.
Haiwezekani kusafirisha nguvu ya umeme hewani kama radi, maana sio salama.
Ni ngumu sana umeme kuwa wireless, Electric charge lazima zisafiri kwenye kitu ambacho kinapitisha hizo charge, Hewa hutumika kama kikinzani (resistance) tena ni resistance kubwa sana, unapokuwa na gap dogo tu la kama 0.1mm linatosha sana kukata umeme hasa huu umeme mdogo, kwa hiyo unapokuwa na gap la kama 5km kutoka kituo kimoja hadi kingine ukinzani wake ni balaa na kama kuna nguvu ya umeme itapenya hapo maana yake viumbe hai vilivyopo katikati ya hivyo vituo vitakufa vyote maana haviwezi kuhimili hiyo nguvu.
Haiwezekani.
practically impossible,,, acha kugoogle na kupaste mambo ya "yahoo answers" bichwa lako.
noooo haiwezekannnn
Kasomeni mtu mmoja anaitwas Tesla, Miaka ya 20 alitoa wazo la Global wireless electricity,akapeleka hilo wazo lake kwa mdhamini wake,Rockafella family,wakamuuliza where do we put meters,akawaambia there is no need of meters,it is wireless,wakamuondolea ufadhili na mradi ukafa maana hao kina Roka wao ni hela tu,jambo lolote linaloonekana kutowafaidisha hawalitaki.
Kwa hiyo usibishe jambo usilolijua,ni dalili za ujinga.