Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-baka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL.
Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-bake yenyewe hadi kufa!
Indeed solar ni wireless!Hata Arusha kuna umeme wa wireless japo wao ni solar, usipolipa bill kwa wakati wanakukatia umeme bila kufika kwenye makazi yako
Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-baka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL.
Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-bake yenyewe hadi kufa!
Mkuu hapa ndipo wabongo tunapokwama kisayansi."imposible"haiwezekani kwa umeme!
Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-baka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL.
Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-bake yenyewe hadi kufa!
haya maisha nowdays kila kitu wireless.. nasubiri mtu atayegundua jinsi ya KUDOWNLOAD chakula
Hizo ndizo fikra za Mwafrika,kila kitu kwake anaona hakiwezekani kufanikiwa. Tuendelee tu kujikatia zetu tamaa maana tumeshakubali kuwa hatuwezi kila kitu.Ila Mimi kama physicist bado natilia
shaka wireless transmission ya high
tension electricity kwamba inaweza
kusababisha ionization ya air
molecucules na kusababisha cheche
za moto hewani ikawa kama man-
made lightning jambo ambalo ni
dhahiri kabisa linaweza kujitokeza.
Fikiria spark plug ya gari ndogo, volts
950 zinatosha kutoa cheche za moto
umeme unapovuka kutoka point moja
kwenda nyingine. Kwa hiyo utafiti
huu ni abstract kwa umeme mkubwa
H.T. ambao unahitaji guidance ya
nyaya ili kuepuka air ionization and
hence sparking.
Mkuu hata kwa sayansi ya darasa la saba tu unaweza kugundua kuwa haiwezekani umeme kuwa wireless.
Ni ngumu sana umeme kuwa wireless, Electric charge lazima zisafiri kwenye kitu ambacho kinapitisha hizo charge, Hewa hutumika kama kikinzani (resistance) tena ni resistance kubwa sana, unapokuwa na gap dogo tu la kama 0.1mm linatosha sana kukata umeme hasa huu umeme mdogo, kwa hiyo unapokuwa na gap la kama 5km kutoka kituo kimoja hadi kingine ukinzani wake ni balaa na kama kuna nguvu ya umeme itapenya hapo maana yake viumbe hai vilivyopo katikati ya hivyo vituo vitakufa vyote maana haviwezi kuhimili hiyo nguvu.