Let’s assume that is the case, uwezi kutegemea chanzo kimoja. Unatafuta vyanzo vingi ambavyo vipo dukani.
Going by your euphemism in educational/learning objectives unajuwaje unananua hizo ideas kutoka kwenye soko la monolopoly au oligopoly (ambayo sio perfect competition) na tofauti yake na perfect competition.
That’s just a bad analogue
Kwenye kujielimisha swala sio kutoa information kupata information from various sources, bali kupata information from credible sources.
Yes kuna variation of opinions in some disciplines kama social sciences, but rarely in core sciences.
Anyway let’s not make this a research methodology topic without a particular discipline of discussion; that is pointless because discipline reseesrch methodologies differ.
Nonetheless in any topic to argue you need to use accepted credible if you can justify it, you can’t just google.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Gtp51eZkwoI&pp=ygUNc2hvY2sgYW5kIGF3ZQ%3D%3D
Chukulia mfano kama mimi kumzungumzia Tesla kuwa na hiyo idea ya wireless miaka mingi. Kuna documentary ambayo imetayarishwa na taasisi ambayo reputation yake ya accuracy ni muhimu kwenye kutoa elimu (BBC), presenter ni lecturer and reputable astrophysicist ndio anasimulia.
Thus I can confidently quote, lakini siwezi kwenda google na kuokota tu source ambayo credibility yake ni mashaka na kutumia kama sehemu ya hoja.
👋
Simu tena hilo onyo hata kwa wanaopewa sidhani kama wanaelewa mantiki ya tahadhari yenyewe.Ninauhakika simu yako inakutahadharisha kuhusu vyanzo sahihi na vyanzo hatari, sikuhitaji kukutahadharisha hilo kwa sababu najua unafahamu kutambua vyanzo sahihi na visivyo sahihi.
Bado , liko kwenye majaribio badoKuna nchi yeyote duniani umeshaanza kutumika??
kwako ndo haiwezekani wengine wanatamba nayo"imposible"haiwezekani kwa umeme!
Ebu amka usingizin,,,Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-b*ka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL.
Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-b*ke yenyewe hadi kufa!
================================
Update: 2021
Mambo yanazidi kuiva
![]()
Wireless power transmission, opening up a world of possibilities - Emrod Energy
What is long-range wireless power transmission? And how can wireless power be used and applied in real-life scenarios? Read onemrod.energy
bado sana mpaka tuutumie huo. hata ile wireless charging ya simu haiko efficient inapoteza kiasi kikubwa cha nishati.Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-b*ka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL.
Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-b*ke yenyewe hadi kufa!
================================
Update: 2021
Mambo yanazidi kuiva
![]()
Wireless power transmission, opening up a world of possibilities - Emrod Energy
What is long-range wireless power transmission? And how can wireless power be used and applied in real-life scenarios? Read onemrod.energy
Inawezekana solar ni mfano wa wireless powerMkuu hata kwa sayansi ya darasa la saba tu unaweza kugundua kuwa haiwezekani umeme kuwa wireless.
Tatizo umeme wetu hauko 230volt 50Hz kama unavyotakiwa, uko panda shuka panda shuka.bado sana mpaka tuutumie huo. hata ile wireless charging ya simu haiko efficient inapoteza kiasi kikubwa cha nishati.
sio tatizo la umeme wetu bali ndivyo kwa sasa technology ilivyoTatizo umeme wetu hauko 230volt 50Hz kama unavyotakiwa, uko panda shuka panda shuka.
Wapi?, mm kama Inginia nasema haiwezekani.kwako ndo haiwezekani wengine wanatamba nayo
Solar power ni umeme wa wireless, japo hauusafiri kama umeme, hivyo hata umeme unaozalishwa unaaweza kubadilishwa in tje future, kisha ukifika ndio unaheuzwa kuwa umemeWapi?, mm kama Inginia nasema haiwezekani.
Kama tunaweza ku-download torch kwenye simu,hili ni swala la kutaka tu,tekinolojia tayari ipo,TANESCO wake mkao wa kula.Tumewachoka,hivi ujue tumewachoka.Sasa ni wazi kwamba wanatumika ku-siphon resources za Watanzania.Haingii akilini kwamba wewe umejenga nyumba yako halafu out of nowhere mtu anaitoza kodi.Huku ni kuvuna usichopanda ambako ni sawasawa na wizi wa kimabavu wa mchana kweupe kabisa.Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-b*ka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL.