Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,793
imposible = Impossible"imposible"haiwezekani kwa umeme!
imposible = Impossible"imposible"haiwezekani kwa umeme!
**imposible = Impossible
kwani video zinaingiaje kwenye simu unapodownlod?Mtuambie vifaa vya wireless na sio umeme hii maana yake nyumba itaunganishwa umeme kama kawa afu ndani ndo utaweza kuvitumia vifaa ambavyo havijawa connected na waya kwenda kwenye cables hii inawezekana but so umeme utoke mtera au kidatu ukufikie kwenu Bila waya hiii haiwezekani kuwa rahis
Kisichowezekana na mwanadamu ni kuzuia kifo tu kaka hata mimi katika kuchemsha kaubongo kangu nimeona uwezekano huo japo kuulezea kama wanafizikia nashindwa ila kuna uwezekano wa kuwa na pocket moja au zaidi ambalo limekusanya massive energy ambalo ni kuharness tu na kuidhibiti ili ikawekwe kwenye nambanamba tambulishi fulani hivi ambazo wewe ukiziingiza kwenye kinģamuzi chako umeme umekufikia sijui wataleta lini ila watauleta tu hao watu wa fizikiaHaiwezekani.
Sure i read about itKasomeni mtu mmoja anaitwas Tesla, Miaka ya 20 alitoa wazo la Global wireless electricity,akapeleka hilo wazo lake kwa mdhamini wake,Rockafella family,wakamuuliza where do we put meters,akawaambia there is no need of meters,it is wireless,wakamuondolea ufadhili na mradi ukafa maana hao kina Roka wao ni hela tu,jambo lolote linaloonekana kutowafaidisha hawalitaki.
Kwa hiyo usibishe jambo usilolijua,ni dalili za ujinga.
Kama ni ule wa jua ni wireless jua likiwaka bila zile components za kuuchakata sijui umeme tuli uwe umeme moto washa taa zako kama utawakaHeeee! Aiseee kweli bhana....!!!!!
Ni vyema ukatuletea dodoso la huyo mtu humusomeni historia ya nini kilimpata Nikolai Tesla baada ya kuja na hii idea
Niambie radi hutumia wire upi?!
Nikushauri tu, hizo video haziwezi kuingia kwenye simu yako kama simu yako haina umeme!!!! Sina hakika kama unanielewa!!!kwani video zinaingiaje kwenye simu unapodownlod?
kisichowezekana ni uhai wa mtu peke yake!
Du. Mbona nguvu ya umeme wa jua unasafiri km 93m kufika kwenye panel za solar panels na hakuna madhara? Hiyo ni altelnative energy. Itakuja kivingineNi ngumu sana umeme kuwa wireless, Electric charge lazima zisafiri kwenye kitu ambacho kinapitisha hizo charge, Hewa hutumika kama kikinzani (resistance) tena ni resistance kubwa sana, unapokuwa na gap dogo tu la kama 0.1mm linatosha sana kukata umeme hasa huu umeme mdogo, kwa hiyo unapokuwa na gap la kama 5km kutoka kituo kimoja hadi kingine ukinzani wake ni balaa na kama kuna nguvu ya umeme itapenya hapo maana yake viumbe hai vilivyopo katikati ya hivyo vituo vitakufa vyote maana haviwezi kuhimili hiyo nguvu.
Jifunze kupitia minara ya simu jinsi inavyofanya kazi,ndipo utakapoelewa yakuwa hata umeme uwa wireless unawezekanaHii technology kwa sasa kureplace waya ni ndoto, na haitokuwepo hata miaka 10 ijayo mbele. Kwa sasa kuna wireless charging zinazotumika kwa vitu kama simu peke yake, na hii inabidi simu iwe karibu sana na charger yenyewe. Kuweza kusafirisha umeme mbali mfano chumba kimoja kwenda kingine kwa sasa hivi inawezekana ila itahitaji mashine kubwa mno kufanya hivyo, sasa tukiongelea swala la kusafirisha 100m unaongelea bonge moja la mashine ambalo ni probably mabilioni kutengeneza, hiyo ni 100m tu ambayo kwa waya ungetumia pesa ndogo mno, mtu mwenye akili hapa ashajiongeza which way to go.
Tatizo hasa ni physics! kwa mtu aliyesoma physics anajua jinsi hawa jamaa wanavyogenerate huu umeme, wanatumia concept ya magnetism tu, change in magnetic flux inaproduce umeme, hii njia ni very inefficient especially when the distance is longer. Kwa hiyo mleta mada inabidi upunguze expectations, miaka 100 ijayo labda, hatuwezi jua nini kitakuwepo then, ila a decade later, bado tutakua tunadeal na waya sana tu, we are far away from true wireless electricity transfer.