Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

watanzania bwana..., msiwasemee wengine. eti kuwa haiwezekani. wapo magreat thinker wanaweza..tunashuhudia mapinduzi mangapi ya technologia ambayo yalionekana hayawezekeni yamewezekana.
 
NANI amwahi kutumia wireless charging??zile electrons znasafiri vp???
Hata mimi ninakushangaa wewe pia.
Labda nikuulize swali la shule ya vidudu. Hicho unachokiona kwenye tv yako, hiyo simu unashinda umeiweka sikioni kwako. Hizo picha na hiyo sauti vinaletwa na nini hadi kukufikia ulipo bila waya?
 
fanya tafiti kabla ya kusema TTCL bado i tegemeo kubwa la mawasiliano hapa nchini kama ulikuwa hujui. hao wooote wanaotoa huduma za mawasiliano wamepitia hapo TTCL hizo tv ,radio. nk TTCL ikizimika tu itakuwa kiza kitupu, kisha beba uzalendo, TTCL ni mali yetu watanzania .-
Ebw eeh. Ukisema "uzalendo" bila kuendana na hali halisi twaweza sema kuwa unaongelea siasa na kutetea "mafisi".
Miaka nendarudi tulivyohenyeshwa na hili shirika unalolitetea Ttcl nadhani wewe ulikuwa haujazaliwa ama ulikuwa na umri wa kutambaa, ndiyo maana hauelewi unachokitetea.
Mawasiliano ya cm za Ttcl na kitu yao waliyokuwa wakiita Ems, kimetudhalilisha waTz kwa kipindi kirefu sana.
Kwa kuwa walikuwa wameshajisahau, wakaendeleza ukiritimba wao ndani ya ulimwengu wa ushindani, eti kuleta simu dizaini ya mtandao mmoja! Utumaji wa pesa kwa Ems, kuzipata mlengwa hadi staff waliojikopesha warejeshe!
Sisi wadau na wazalendo tulihoji sana kwamba, kwanini wameamua kufanya mambo ambayo hata mtu anayejifunza biashara za uwekezaji hawezi kufanya ujuha huo!
Jibu nililipata kwa njia ya kukanyagwa kidole cha mguuni kama ishara kuashiria nisiongee kwa kelele. Nikaambiwa "kaka mafisi na 10% yao wameliua shirika na vigogo wamo"!
Leo unakuja na blahblah za uzalendo usizozijua! Uzalendo kwa nani?
Wacha shurika life kabisa tena kifo cha laana. Kifo ambacho ikiwezekana hata kaburi lake lisipate kujulikana huyo mnysma Ttcl alizikwa wapi.
 
Hapo zamani watu walibisha na kutoamini lakini finally ikawezekana, hapa chini ya jua kisichowezekana ni kuumba roho au pumzi ya uhai lakini vilivyobaki vyote vinawezekekana, it just the matter of time.
 
Ebw eeh. Ukisema "uzalendo" bila kuendana na hali halisi twaweza sema kuwa unaongelea siasa na kutetea "mafisi".
Miaka nendarudi tulivyohenyeshwa na hili shirika unalolitetea Ttcl nadhani wewe ulikuwa haujazaliwa ama ulikuwa na umri wa kutambaa, ndiyo maana hauelewi unachokitetea.
Mawasiliano ya cm za Ttcl na kitu yao waliyokuwa wakiita Ems, kimetudhalilisha waTz kwa kipindi kirefu sana.
Kwa kuwa walikuwa wameshajisahau, wakaendeleza ukiritimba wao ndani ya ulimwengu wa ushindani, eti kuleta simu dizaini ya mtandao mmoja! Utumaji wa pesa kwa Ems, kuzipata mlengwa hadi staff waliojikopesha warejeshe!
Sisi wadau na wazalendo tulihoji sana kwamba, kwanini wameamua kufanya mambo ambayo hata mtu anayejifunza biashara za uwekezaji hawezi kufanya ujuha huo!
Jibu nililipata kwa njia ya kukanyagwa kidole cha mguuni kama ishara kuashiria nisiongee kwa kelele. Nikaambiwa "kaka mafisi na 10% yao wameliua shirika na vigogo wamo"!
Leo unakuja na blahblah za uzalendo usizozijua! Uzalendo kwa nani?
Wacha shurika life kabisa tena kifo cha laana. Kifo ambacho ikiwezekana hata kaburi lake lisipate kujulikana huyo mnysma Ttcl alizikwa wapi.
Lakini naona TTCL inajaribu kufufuka kwa 'Kizazi cha T'...
 
How comes..au kwa solar
Hapa hatuongelei sollar.
Unaposema wireless maana yake unasema umeme. Yaani umeme kusafirisha sauti bila waya (conductor)
Sauti kusafiri bila waya ni kwamba sauti hubadilishwa na kuwa umeme(electromagnetic) na kusafirishwa kwa njia ya mawimbi ya hewa (waves). Mawimbi ya sauti yasafirishwayo na umeme huitwa "electromagnetic waves". Na njia inayosafirishiwa huitwa frequency. Ndiyo maana hata unapopigiwa cm inakuja kwako haiendi kwingine.
Tukija kwa suala la umeme bila mawimbi ya sauti, inawezekana ukasafirishwa kwa njia ya friquency.
Wataalamu wanasema "conductor" ya hewa nyepesi na ni rahisi kupenyesha umeme kuliko "conductor" ya waya.
Sasa kwanini umeme usiwezekane kutumwa kwa njia ya hewa?
 
Lakini naona TTCL inajaribu kufufuka kwa 'Kizazi cha T'...
Wangezaliwa upya wakabadili na jina.
Ushindani mzuri ni wa mawasiliano ya simu. Lakini hadi sasa wameshindwa kuingia sokoni.
Bei za simu na internet zao zilikuwa affordable sana na waTz walikuwa na imani sana na shirika.
Lalini dhambi aliyosema Nyerere,dhambi ya kula nyama ya mtu. Ukishaonja, hauwezi kuacha. Walishaharibu, sasa kujijenga upya, wanatakiwa wajirekebishe pakubwa kupoka soko la ushindani lililopo hivi sasa.
Tangu waanze kujitangaza, kitu gani kilichowasibu hadi leo waendelee kubakia kwenye matangazo ya kwenye tv pekee bila ya utekelezaji wa matangazo wanayoyatangaza?
Ttcl bado kuna tatizo, tena tatizo kubwa.
 
Naona kama inachelewa kuja hiyo Huduma, tanesco kama ni kinyesi basi ni cha binadamu aliyevimbiwa
 
Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-b*ka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL.

Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-b*ke yenyewe hadi kufa!
Kama unaweza ku-download mwanga kwenye mobile yako ukatumia kama torch kutoka Google Play, no wonder unaweza pia ku-download umeme wa nyumbani kwako .TANESCO wajiandae for the worst mkuu,hiyo haina ubishi.
 
"imposible"haiwezekani kwa umeme!
hakuna kisicho wezekana chini ya jua ni suala la muda tuu
nnavo fahamu last year japan walkua wana fanya majaribio ya umeme huo wa wireless na kwa kiasi fulan walionesha maendeleo mazuri mkuu kwa hyo n suala la muda
 
Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-b*ka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL.

Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-b*ke yenyewe hadi kufa!
Ninaamini
 
Utakuwa umesoma HKL
 
Nguvu haisafiri hewani acha ndoto za mchana utasababisha vifo vya watu kabla umeme huo haujawasha pasi nyumba ya pili
 
Back
Top Bottom