Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-b*ka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL.

Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-b*ke yenyewe hadi kufa!
Mgunduzi wa hii kitu alikufa/uawa kitambo sana
 
Mkuu hata kwa sayansi ya darasa la saba tu unaweza kugundua kuwa haiwezekani umeme kuwa wireless.
Technolojia imekuwa ikifanyiwa majaribio kwa zaidi ya miaka 3 sasa na wanasayansi. Miaka mmoja na nisu uliopita walifanikiwa kurusha Umeme kwa mita 500, huo ukawa mwanzo wa mafanikio. Wanachofanya sasa ni kutengeneza transmitter na receiver ili kuanza biashara. Hivyo no kweli na Tanesco itakufa kifo cha mende muda c mrefu
 
Umeme wa jua ni wireless
 
Tukifanikiwa kuboresha Solar panel kila mtu akafungiwa ya kwake kweli Tanesco itakufa
 
Mkali wangu wakati watanzania tuna lala masaa nane eti tumepumzika wenzetu wana kesha lab wakiumiza vichwa kufanya ufumbuzi. Umeme wa wireless upo na upo very safe ila mbinu walizo tumia ni sawa tu naza lumia wireless charging. Ila mfumo wake upo tofauti taa zake ni LED na zina ambatana ni vifaa vyake. Ila mfumo mzma wa wireless umeme ni mambo ya electromagnetism. Ingia mtandaoni chc documentaries bro. Kwasababu m mwenyewe sija pigiwa stry ila nilichc kweny kipindi channel Discovery tena mwaka jana. So jaribu kupita net kwa maelezo zaidi

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Blackberry stll exist, dah
 
Kabla ya simu za wireless ungemwambia mtu kitu ka hicho angekwambia haiwezekani

Si kweli. Simu ni mawasiliano ya mbali kwa mbali.

Ukisoma historia ya mawasiliano, mawasiliano bila waya ndiyo yalitangulia.

Kuanzia enzi za kuwasiliana kwa kutumia moshi, ngoma, kunadi kwa sauti nk.

Soma kijana.
 
Mkuu kwa Umeme haiwezekani

Hakuna kisichowezekana.

Ukisoma historia ya umeme utagundua kuwa Wamisri zamani walitumia umeme bila waya.

Pia soma kuhusu Baghdad batteries.

Halafu msome Nikola Tesla na uvumbuzi wake si zamani sana.

Halafu wasome babu zako wa Kigoma wanaoweza kukutumia umeme wa radi ukakufata kukudhuru wewe tu na ukawaacha wengine.

Inawezekana.
 
Unasema kitu ambacho hata dunia ya kwanza hawajaanza kutumia. Unafikiri gharama zake zitakuwa rahisi hvyo mpaka tukimbilie huko
 
inawezekana maana hata sahv signals zote n umeme sema mdogo sana
 
Mtuambie vifaa vya wireless na sio umeme hii maana yake nyumba itaunganishwa umeme kama kawa afu ndani ndo utaweza kuvitumia vifaa ambavyo havijawa connected na waya kwenda kwenye cables hii inawezekana but so umeme utoke mtera au kidatu ukufikie kwenu Bila waya hiii haiwezekani kuwa rahis
 
Ndo kwanza nasikia leo hicho kitu......nahisi upo kwenye tafakuri
 
Mtuambie vifaa vya wireless na sio umeme hii maana yake nyumba itaunganishwa umeme kama kawa afu ndani ndo utaweza kuvitumia vifaa ambavyo havijawa connected na waya kwenda kwenye cables hii inawezekana but so umeme utoke mtera au kidatu ukufikie kwenu Bila waya hiii haiwezekani kuwa rahis
Kama inawezekana kifaa kukifanya wireless inashindikana vipi kuweka nyuma bila ya wire inawezekana tena sana tu
 
tujiandae kiafya na majaribio yatakuwa nchi za ulimwengu wa tatu
 
someni historia ya nini kilimpata Nikolai Tesla baada ya kuja na hii idea
 
Back
Top Bottom