mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,580
- 2,990
Kufikiria hakuna limit,we Kama bichwa lako limefikia mwisho wa kufikiria wenzio ndo kwanza wanaanza,,"imposible"haiwezekani kwa umeme!
Kufikiria hakuna limit,we Kama bichwa lako limefikia mwisho wa kufikiria wenzio ndo kwanza wanaanza,,"imposible"haiwezekani kwa umeme!
Wireless charging ni uhuni tuu, hamna hata uwireless hapoTEKNOLOJIA
Chaja za Wireless – Teknolojia nyuma yake! #Fahamu
February 18, 2016
![]()
![]()
Sambaza
Huwezi ukataja mageuzi kumi ya teknolojia mwaka huu bila ya kutaja Chaja za wireless, ukweli ni kwamba haya ndiyo mageuzi ya pekee ambayo yamegusa watengenezaji wengi tofauti tofauti wa vifaa pia teknolojia hii imegusa aina nyingi za vifaa kutoka saa janja simu janja hadi vifaa vya viwandani kama magari.
Mafanikio ya teknolojia hii ya chaja za wireless inakuja kutokana na ukweli kwamba ni rahisi mno kuitumia, ni rahisi kuweka simu yako juu ya chaja na kuondoka bila ya kushughurika na waya wala kuchomeka lakini urahisi huu unawezesha teknolojia hii kuwa na matumizi makubwa zaidi mfano barabarani magari yanayotumia umeme yanaweza kuchajiwa katika mataa ama katika sehemu za maegesho.
INAYOHUSIANA Pengine iPhone Itaachana Na 'Touch ID' Na Kuja Na 3D Face Scanning!
![]()
Teknolojia hii kimsingi inachukua teknolojia inayotumiwa na transforma ambapo kwenye chaja yenyewe kuna kuwa na koili ambazo pindi zinapo pitishiwa umeme hutengeneza nguvu za usumaku ambazo hutumiwa na koili zilizo katika kifaa chako kutengeneza umeme tena ambao hutumika kuchaji betri ya simu ama gari ama kifaa chochote husika.
![]()
Pamoja na kuwa ni rahisi kutumia teknolojia hii ya kuchaji vifaa mbalimbali lakini pia teknolojia hii inatumika zaidi kuchaji vifaa vya baiolojia kama moyo wa bandia kwa kuvichaji kwake ni njia salama mfano haihusishi kuingiza waya ndani ya mwili, njia hii pia inasemwa kwamba ni njia ambayo inadumu muda murefu bila kuchakaa hii ni kwasababu hakuna kuchomeka chomoa kama njia nyingine (watumiaji wa chaja za simu za iPhone watakubaliana na mimi jinsi chaja zetu zinavyochakaa).
INAYOHUSIANA Mwizi wa Mtandaoni ahitaji Video Yake Ionekane mara 200,000 ili Aachiwe Huru
Picha kwa hisani ya mtandao ikionesha jinsi teknolojia hii inavyofanya kazi
Chenye mazuri huwa hakikosi kasoro! Teknolojia hii pamoja na mazuri yake ukweli ni kwamba teknolojia hii inatumia muda mrefu zaidi kuchaji kulinganisha na njia ya kawaida, hii inasababisha watengenezaji wengi washauri kwamba watumiaji wa chaja hizi kuchaji kwa mara ya kwanza kwa njia ya kawaida. Pia teknolojia hii ya kuchaji kwa wireless inagharama kubwa kutengenezwa ukiringanisha na chaja za kawaida.
INAYOHUSIANA ProPilot Chair: Nissan Waja Na Kiti Janja Kinachojiendesha!
Kama ilivyo kwa kila teknolojia inakuwa na muungano wa wadau wa teknolojia husika ambao unatengeneza viwango ambavyo ndio huongoza utengenezaji wa vifaa vinavyotumiwa na teknolojia hiyo basi teknolojia hii ya chaja za wireless inatawaliwa na miungano miwili mmoja ni ule wa Wireless Power Consortium ambao unaungwa mkono na watengenezaji wa simu kama Nexus LG Microsoft na HTC na muungano mwingine ni ule wa Power Matters Alliance ambao wao wanaungwa mkono na kampuni la simu za mkononi ya AT&T ya nchini Marekani
"imposible"haiwezekani kwa umeme!
emrod.energy
emrod.energy
Kwa nini haiwezekani??"imposible"haiwezekani kwa umeme!
Na sasa ndio wamezidisha uhuni waoWalete hiyo teknolojia maana Tanesco walishatuona vilaza
Mbona wa solar...kulipia wireless si upo kitambo?Kuna nchi yeyote duniani umeshaanza kutumika??
Ni kweli, Solar power ni aina flani ya umeme wa wireless, inayosafirishwa kwa mfumo wa mwanga..Mbona wa solar...kulipia wireless si upo kitambo?
Kuna kitu kiko mbioni kuanza kutumika dunia nzima, Vietnam wameanza majaribio.Ni kweli, Solar power ni aina flani ya umeme wa wireless, inayosafirishwa kwa mfumo wa mwanga..
Hakuna kisichowezekana kwa binadamu iseee.."imposible"haiwezekani kwa umeme!
Inawezekana Kwa kutumia 'law of conservation of energy 'Mkuu hata kwa sayansi ya darasa la saba tu unaweza kugundua kuwa haiwezekani umeme kuwa wireless.
Tayari umeanza kwa kiwango kidogo, baadhi ya simu zinachaji kwa kutumia mfumo huo, pia baadhi ya vifaa vya ndani pia hufanyakazi kwa mfumo huo.Kuna nchi yeyote duniani umeshaanza kutumika??
Dunia ya AI, Information Age na mass communication; binadamu unatakiwa ujiongeze.Tayari umeanza kwa kiwango kidogo, baadhi ya simu zinachaji kwa kutumia mfumo huo, pia baadhi ya vifaa vya ndani pia hufanyakazi kwa mfumo huo.
Majibu yote haya ungeyapata kwa kutumia simu yako yenye macho manne kupitia google, siku hizi kuulizana ni jambo la mwisho kabisa baada ya kushindwa kuupata mtandao.
Jambo muhimu usitegemee chanzo kimoja, mimi hutafuta maelezo ya uwezekano kisha hutafuta kama kipo dukani.Dunia ya AI, Information Age na mass communication; binadamu unatakiwa ujiongeze.
Kama una abc ya topic ukienda ku-google kwenye dunia ya mass information unaweza pewa maelezo ambayo siyo kabisa kama huna fundamentals za topic husika.
Google ya leo unatakiwa kuwa uwe na uwezo wa ku-deduce unachosoma theoretically even at foundation level.
Uzuri wa age of information ni kuelewa umuhimu wa what constitute as credible source na kuna ample of information from those sources. Sasa kupata foundation education hata kutoka hizo credible ni lazima uwe tayari kujifunza hizo from foundation,
Dunia ya leo, ime fanya kupata elimu kuwa jambo jepesi, lakini jitihada za kujifunza zipo pale pale. Unaweza kwenda Google kama hujui credible sources au una abc za topic. Ukachukua info huko na kuishia kuwa na nadharia za ujinga mtupu kuhusu hiyo topic.
Hakuna shortcut kwenye uelewa wa mambo, ni lazima uwe tayari kujifunza. Hasa kupata foundation knowledge ya topic, how you want to build upwards it depends on your interest on the topic.
Hakuna namna rahisi ya kuelewa mambo zaidi ya kuwa tayari kujifunza; only that ukitaka kujifunza information zinapatikana kirahisi.
Let’s assume you are right that is the case, uwezi kutegemea chanzo kimoja. Unatafuta vyanzo vingi ambavyo vipo dukani.Jambo muhimu usitegemee chanzo kimoja, mimi hutafuta maelezo ya uwezekano kisha hutafuta kama kipo dukani.