Mawimbi ya sauti za simu za wireless yanasafirishwa kwa nguvu iitwayo electromagnetic waves. Kiswahili twaweza kusema umeme unaosafirisha mawimbi ya sauti. Yaani ni umeme ulio-convert sauti na kuisafirisha hewani kwa njia ya frequency.
Kwanini umeme bila sauti usisafirishwe kwa frequency?
Hii technology kwa sasa kureplace waya ni ndoto, na haitokuwepo hata miaka 10 ijayo mbele. Kwa sasa kuna wireless charging zinazotumika kwa vitu kama simu peke yake, na hii inabidi simu iwe karibu sana na charger yenyewe. Kuweza kusafirisha umeme mbali mfano chumba kimoja kwenda kingine kwa sasa hivi inawezekana ila itahitaji mashine kubwa mno kufanya hivyo, sasa tukiongelea swala la kusafirisha 100m unaongelea bonge moja la mashine ambalo ni probably mabilioni kutengeneza, hiyo ni 100m tu ambayo kwa waya ungetumia pesa ndogo mno, mtu mwenye akili hapa ashajiongeza which way to go.
Tatizo hasa ni physics! kwa mtu aliyesoma physics anajua jinsi hawa jamaa wanavyogenerate huu umeme, wanatumia concept ya magnetism tu, change in magnetic flux inaproduce umeme, hii njia ni very inefficient especially when the distance is longer. Kwa hiyo mleta mada inabidi upunguze expectations, miaka 100 ijayo labda, hatuwezi jua nini kitakuwepo then, ila a decade later, bado tutakua tunadeal na waya sana tu, we are far away from true wireless electricity transfer.
Mkuu haitawezekana kuusafirisha kwenye mfumo wa umeme, labda waubadilishe uwe kwenyw mfumo wa waves( mawimbi) alafu ukifika utahitaji umeme wa kawaida ili upokelewe then..... Ata sijui, haiwezekani
Najua vizuri sana minara ya simu inavyofanya kazi, nimesomea haya mambo na nayajua vizuri tu, nishatengeneza kifaa changu cha kutransfer data kutoka computer moja hadi nyingine kwa kutumia sauti, kifaa kingine kwa kutumia mwanga, usifananishe radio waves na electricity mtanzania, hivyo vitu ni tofauti kabisa.
Sijasema umeme wa wireless hauwezekani, nimeandika pale kuna charging solutions sasa hivi, ila hakuna anayeweza rusha umeme wa wireless mita 100 unless amespend billions kutengeneza mashine kubwa mno, kitu ambacho ni very inefficient and costful kulinganisha na waya, ndio maana nikasema kwa sasa wire ni irreplaceable. Apple tu kurusha umeme wa wireless mita 5 hadi leo wanafanya research, kampuni kubwa kama hiyo.
Kisichowezekana na mwanadamu ni kuzuia kifo tu kaka hata mimi katika kuchemsha kaubongo kangu nimeona uwezekano huo japo kuulezea kama wanafizikia nashindwa ila kuna uwezekano wa kuwa na pocket moja au zaidi ambalo limekusanya massive energy ambalo ni kuharness tu na kuidhibiti ili ikawekwe kwenye nambanamba tambulishi fulani hivi ambazo wewe ukiziingiza kwenye kinģamuzi chako umeme umekufikia sijui wataleta lini ila watauleta tu hao watu wa fizikia
Unatambuaje namba namba bila umeme wa kawaida, na ukubwa wa hizo waves lazima uhitaji umeme mkubwa pia, wewe toa betri ya simu yako uone kama utapiga simu!
Mkuu haitawezekana kuusafirisha kwenye mfumo wa umeme, labda waubadilishe uwe kwenyw mfumo wa waves( mawimbi) alafu ukifika utahitaji umeme wa kawaida ili upokelewe then..... Ata sijui, haiwezekani
Ni vizuri kua unajaribu kufikiria solution, inabidi ujue umeme na mawimbi ni nini kabla ya kuanza kufikiria kama utaweza kugeuza umeme uwe katika form ya mawimbi, ingekua rahisi hivyo leo hii tungekua na solution tayari maana uwezo wa kurusha waves kuzunguka dunia tunao.
Unaweza pata umeme kutoka kwa radio waves ndiyo, ila umeme unaopatikana ni mdogo mno kiasi kwamba hauwezi kuwasha hata simu, ili uweze kurusha waves ambazo utaconvert ziweze kuwasha nyumba moja nzima, utajikuta unatumia umeme wa nyumba zaidi ya 150 kugenerate waves yenye very high frequency ili tu kuwasha nyumba moja, huo utakua ni ujinga, hata kama tungekua na nuclear fusion reactors umeme wa kutosha hiyo ingekua ni stupid decision kama engineer. kutumia umeme mwingi hivyo wakati kuna alternative ya kutumia cable.
Hili swala la kureplace wire na wireless linawezekana ila sahau kwa muongo huu au muongo ujao. Hadi tupate njia za kupata high efficiency na iwe economical, ila kwa sasa, cable mtindo moja. Kama cable za tanesco zinamboa mtu anunue tu solar. Au kama anakaa sehemu zenye mito inayorun kwa speed then atengeneze umeme wake mwenyewe.
Ni vizuri kua unajaribu kufikiria solution, inabidi ujue umeme na mawimbi ni nini kabla ya kuanza kufikiria kama utaweza kugeuza umeme uwe katika form ya mawimbi, ingekua rahisi hivyo leo hii tungekua na solution tayari maana uwezo wa kurusha waves kuzunguka dunia tunao.
Unaweza pata umeme kutoka kwa radio waves ndiyo, ila umeme unaopatikana ni mdogo mno kiasi kwamba hauwezi kuwasha hata simu, ili uweze kurusha waves ambazo utaconvert ziweze kuwasha nyumba moja nzima, utajikuta unatumia umeme wa nyumba zaidi ya 150 kugenerate waves yenye very high frequency ili tu kuwasha nyumba moja, huo utakua ni ujinga, hata kama tungekua na nuclear fusion reactors umeme wa kutosha hiyo ingekua ni stupid decision kama engineer. kutumia umeme mwingi hivyo wakati kuna alternative ya kutumia cable.
Hili swala la kureplace wire na wireless linawezekana ila sahau kwa muongo huu au muongo ujao. Hadi tupate njia za kupata high efficiency na iwe economical, ila kwa sasa, cable mtindo moja. Kama cable za tanesco zinamboa mtu anunue tu solar. Au kama anakaa sehemu zenye mito inayorun kwa speed then atengeneze umeme wake mwenyewe.
Ndo maana kila nikijaribu kufikiria theory fulani naona kama itapingana na theory nyingine, discovery yoyote ni vyema ikatatua kero ama kupunguza gharama siyo na wala siyo tu kwa sifa eti wireless
Ni vizuri kua unajaribu kufikiria solution, inabidi ujue umeme na mawimbi ni nini kabla ya kuanza kufikiria kama utaweza kugeuza umeme uwe katika form ya mawimbi, ingekua rahisi hivyo leo hii tungekua na solution tayari maana uwezo wa kurusha waves kuzunguka dunia tunao.
Unaweza pata umeme kutoka kwa radio waves ndiyo, ila umeme unaopatikana ni mdogo mno kiasi kwamba hauwezi kuwasha hata simu, ili uweze kurusha waves ambazo utaconvert ziweze kuwasha nyumba moja nzima, utajikuta unatumia umeme wa nyumba zaidi ya 150 kugenerate waves yenye very high frequency ili tu kuwasha nyumba moja, huo utakua ni ujinga, hata kama tungekua na nuclear fusion reactors umeme wa kutosha hiyo ingekua ni stupid decision kama engineer. kutumia umeme mwingi hivyo wakati kuna alternative ya kutumia cable.
Hili swala la kureplace wire na wireless linawezekana ila sahau kwa muongo huu au muongo ujao. Hadi tupate njia za kupata high efficiency na iwe economical, ila kwa sasa, cable mtindo moja. Kama cable za tanesco zinamboa mtu anunue tu solar. Au kama anakaa sehemu zenye mito inayorun kwa speed then atengeneze umeme wake mwenyewe.
Kumbe inawezekan hata kama ni miaka mia ijayo.
Ugunduzi ktk sayansi haujakoma.bado mambo mengi theories, principles, laws na facts zitaendelea kuja mpya wakati hadi wakati mwingine... Efficiency na economic feasibility hilo litafanyiwa kazi hata kama ni miaka mingi na solution itatokea hata kama ni baada ya kizazi hiki.
Imagin yaliyotokea wakati wa ugunduzi wa bulb siyo mambo ya chapchap muongo mmoja au miwili...
Computer ya kwanza ya umeme ilikuwa na ukubwa sawa na Scania tani 20 na ilikuwa na storage space ya MB 8 tu! Hence it was very inefficient and costly, lakini leo mtu anashika smartphone kiganjani, ina storage ya GB 400..!! na processing power mara milioni zaidi! Hence hata wireless technology itaendelea kuwa refined
History > History Q&A When was the first computer invented?
There is no easy answer to this question due to the many different classifications ofcomputers. The first mechanical computer, created by Charles Babbage in 1822, doesn't really resemble what most would consider a computer today. Therefore, this document has been created with a listing of each of the computer firsts, starting with the Difference Engine and leading up to the computers we use today.
Note: Early inventions which helped lead up to the computer, such as the abacus, calculator, and tablet machines, are not accounted for in this document.
The word "computer" was first used
The word "computer" was first recorded as being used in 1613 and originally was used to describe a human who performed calculations or computations. The definition of a computer remained the same until the end of the 19th century, when the industrial revolution gave rise to machines whose primary purpose was calculating.
First mechanical computer or automatic computing engine concept
In 1822, Charles Babbage conceptualized and began developing the Difference Engine, considered to be the first automatic computing machine. The Difference Engine was capable of computing several sets of numbers and making hard copies of the results. Babbage received some help with development of the Difference Engine fromAda Lovelace, considered by many to be the first computer programmer for her work and notes on the Difference Engine. Unfortunately, because of funding, Babbage was never able to complete a full-scale functional version of this machine. In June of 1991, the London Science Museum completed the Difference Engine No 2 for the bicentennial year of Babbage's birth and later completed the printing mechanism in 2000.
In 1837, Charles Babbage proposed the first general mechanical computer, the Analytical Engine. The Analytical Engine contained anArithmetic Logic Unit (ALU), basic flow control, punch cards (inspired by the Jacquard Loom), and integrated memory and is the first general-purpose computer concept. Unfortunately, because of funding issues, this computer was also never built while Charles Babbage was alive. In 1910, Henry Babbage, Charles Babbage's youngest son, was able to complete a portion of this machine and was able to perform basic calculations.
First programmable computer
The Z1 was created by German Konrad Zusein his parents' living room between 1936 and 1938. It is considered to be the first electro-mechanical binary programmable computer, and the first really functional modern computer.
First concepts of what we consider a modern computer
The Turing machine was first proposed byAlan Turing in 1936 and became the foundation for theories about computing and computers. The machine was a device that printed symbols on paper tape in a manner that emulated a person following a series of logical instructions. Without these fundamentals, we wouldn't have the computers we use today.
The first electric programmable computer
The Colossus was the first electric programmable computer, developed by Tommy Flowers, and first demonstrated in December 1943. The Colossus was created to help the British code breakers read encrypted German messages.
The first digital computer
Short for Atanasoff-Berry Computer, the ABCbegan development by Professor John Vincent Atanasoff and graduate student Cliff Berry in 1937. Its development continued until 1942 at the Iowa State College (now Iowa State University).
The ABC was an electrical computer that usedvacuum tubes for digital computation, including binary math and Boolean logic and had no CPU. On October 19, 1973, the US Federal Judge Earl R. Larson signed his decision that the ENIAC patent by J. Presper Eckert and John Mauchly was invalid and named Atanasoff the inventor of the electronic digital computer.
The ENIAC was invented by J. Presper Eckertand John Mauchly at the University of Pennsylvania and began construction in 1943and was not completed until 1946. It occupied about 1,800 square feet and used about 18,000 vacuum tubes, weighing almost 50 tons. Although the Judge ruled that the ABC computer was the first digital computer, many still consider the ENIAC to be the first digital computer because it was fully functional.
The first stored program computer
The early British computer known as theEDSAC is considered to be the first stored program electronic computer. The computer performed its first calculation on May 6, 1949and was the computer that ran the first graphical computer game, nicknamed "Baby".
Around the same time, the Manchester Mark 1 was another computer that could run stored programs. Built at the Victoria University of Manchester, the first version of the Mark 1 computer became operational in April 1949. Mark 1 was used to run a program to search for Mersenne primes for nine hours without error on June 16 and 17 that same year.
The first computer company
The first computer company was theElectronic Controls Company and was founded in 1949 by J. Presper Eckert and John Mauchly, the same individuals who helped create the ENIAC computer. The company was later renamed to EMCC or Eckert-Mauchly Computer Corporation and released a series of mainframe computers under the UNIVAC name.
First stored program computer
First delivered to the United States government in 1950, the UNIVAC 1101 or ERA 1101 is considered to be the first computer that was capable of storing and running a program from memory.
First commercial computer
In 1942, Konrad Zuse begin working on the Z4that later became the first commercial computer. The computer was sold to Eduard Stiefel, a mathematician of the Swiss Federal Institute of Technology Zurich on July 12,1950.
IBM's first computer
On April 7, 1953IBM publicly introduced the701; its first commercial scientific computer.
The first computer with RAM
MIT introduces the Whirlwind machine on March 8, 1955, a revolutionary computer that was the first digital computer with magnetic core RAM and real-time graphics.
The first transistor computer The TX-O (Transistorized Experimental computer) is the first transistorized computer to be demonstrated at the Massachusetts Institute of Technology in 1956.
The first desktop and mass-market computer
In 1964, the first desktop computer, theProgramma 101, was unveiled to the public at the New York World's Fair. It was invented by Pier Giorgio Perotto and manufactured by Olivetti. About 44,000 Programma 101 computers were sold, each with a price tag of $3,200.
In 1968, Hewlett Packard began marketing theHP 9100A, considered to be the first mass-marketed desktop computer.
The first workstation
Although it was never sold, the firstworkstation is considered to be the XeroxAlto, introduced in 1974. The computer was revolutionary for its time and included a fully functional computer, display, and mouse. The computer operated like many computers today utilizing windows, menus and icons as an interface to its operating system. Many of the computer's capabilities were first demonstrated in The Mother of All Demos byDouglas Engelbart on December 9, 1968.
The first microprocessor Intel introduces the first microprocessor, theIntel 4004 on November 15, 1971.
The first micro-computer
The Vietnamese-French engineer, André Truong Trong Thi, along with Francois Gernelle, developed the Micral computer in1973. Considered as the first "micro-computer", it used the Intel 8008 processor and was the first commercial non-assembly computer. It originally sold for $1,750.
The first personal computer
In 1975, Ed Roberts coined the term "personal computer" when he introduced the Altair8800. Although the first personal computer is considered by many to be the KENBAK-1, which was first introduced for $750 in 1971. The computer relied on a series of switches for inputting data and output data by turning on and off a series of lights.
The first laptop or portable computer The IBM 5100 is the first portable computer, which was released on September 1975. The computer weighed 55 pounds and had a five inch CRT display, tape drive, 1.9MHz PALM processor, and 64KB of RAM. In the picture is an ad of the IBM 5100 taken from a November 1975 issue of Scientific America.
The first truly portable computer or laptop is considered to be the Osborne I, which was released on April 1981 and developed byAdam Osborne. The Osborne I weighed 24.5 pounds, had a 5-inch display, 64 KB of memory, two 5 1/4" floppy drives, ran theCP/M 2.2 operating system, included amodem, and cost US$1,795.
The IBM PC Division (PCD) later released the IBM portable in 1984, it's first portable computer that weighed in at 30 pounds. Later in 1986, IBM PCD announced it's first laptopcomputer, the PC Convertible, weighing 12 pounds. Finally, in 1994, IBM introduced the IBM ThinkPad 775CD, the first notebook with an integrated CD-ROM.
The first Apple computer
The Apple I (Apple 1) was the first Apple computer that originally sold for $666.66. The computer kit was developed by Steve Wozniakin 1976 and contained a 6502 8-bit processor and 4 kb of memory, which was expandable to 8 or 48 kb using expansion cards. Although the Apple I had a fully assembled circuit board the kit still required a power supply, display,keyboard, and case to be operational. Below is a picture of an Apple I from an advertisement by Apple.
The first IBM personal computer
IBM introduced its first personal computer called the IBM PC in 1981. The computer was code named and still sometimes referred to as the Acorn and had a 8088 processor, 16 KB of memory, which was expandable to 256 and utilized MS-DOS.
The first PC clone
The Compaq Portable is considered to be the first PC clone and was release in March 1983 by Compaq. The Compaq Portable was 100% compatible with IBM computers and was capable of running any software developed for IBM computers.
The first multimedia computer
In 1992, Tandy Radio Shack became one of the first companies to release a computer based on the MPC standard with its introduction of the M2500 XL/2 and M4020 SX computers.
Other computer company firsts
Below is a listing of some of the major computers companies first computers.
Commodore - In 1977, Commodore introduced its first computer, the "Commodore PET". Compaq - In March 1983, Compaq released its first computer and the first 100% IBM compatible computer, the "Compaq Portable." Dell - In 1985, Dell introduced its first computer, the "Turbo PC." Hewlett Packard - In 1966, Hewlett Packard released its first general computer, the "HP-2115." NEC - In 1958, NEC builds its first computer, the "NEAC 1101."
kuna siku nilijiuliza kuhusu hilo suala, I hope one day watafanikiwa, wanaobisha watuambie ni kitu gani kabla hakijagunduliwa walijua kitakuwa, wabongo bwana!
Nashangaa sana. tatizo LA wabongo hatupendi kujisomea mambo ya sayansi yanayoendelea duniani. Google ujipnee mwenyewe kila kitu kiko mitandaoni. usokazane kuchati mambo yasiyofaa tuu. tutumie mitandao kujielimisha
Nashangaa sana. tatizo LA wabongo hatupendi kujisomea mambo ya sayansi yanayoendelea duniani. Google ujipnee mwenyewe kila kitu kiko mitandaoni. usokazane kuchati mambo yasiyofaa tuu. tutumie mitandao kujielimisha
Mgunduzi wa umeme wa ac, Nicola Tesla alianza utafiti wa umeme bure wireless. Lkn alifariki kabla wazo lake halija takeoff. Vizingiti vikubwa vilitokana Na makampuni makubwa ya umeme. goggle Nicola Tesla kwa maelezo ya ziada. Alikuwa mgunduzi wa vitu vingi sana ya umeme.
Mgunduzi wa umeme wa ac, Nicola Tesla alianza utafiti wa umeme bure wireless. Lkn alifariki kabla wazo lake halija takeoff. Vizingiti vikubwa vilitokana Na makampuni makubwa ya umeme. goggle Nicola Tesla kwa maelezo ya ziada. Alikuwa mgunduzi wa vitu vingi sana ya umeme.
Kuna magari ya umeme very advanced yanaitwa 'tesla'; kabla ya hapo mtu aliesuggest gari la umeme aliitwa kichaa maana hapa kuwa na 'lithium ion' batteries kipindi hicho zenye kuweza kuhifadhi umeme mwingi
The world’s largest lithium-ion battery has officially been turned on in South Australiapromising to usher in a revolution in how electricity is produced and stored.
The battery had begun dispatching some power into the state’s electricity network on Thursday afternoon as temperatures rose above 30C.
The state’s premier, Jay Weatherill, flicked the switch at Jamestown on Friday, saying it was history in the making. “I want to express my gratitude to the workers who have constructed this battery, they have every right to be proud of what they have constructed,” he said in a statement.
Tesla founder Elon Musk presenting the new Roadster electric sports vehicle this month Photograph: Tesla Handout/EPA
“South Australia is now leading the world in dispatchable renewable energy, delivered to homes and businesses 24/7,” Weatherill said.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.