Labda kwa solar, huo upon hata leo. wanakufungia full package unayoweza, unalipa kwa mwezi hadi gharama zao ziishe, usipolipa inakata automatic kwa GPSHaiwezekani.
Labda kwa solar, huo upon hata leo. wanakufungia full package unayoweza, unalipa kwa mwezi hadi gharama zao ziishe, usipolipa inakata automatic kwa GPSHaiwezekani.
Usiseme haiwezekani.Mkuu hata kwa sayansi ya darasa la saba tu unaweza kugundua kuwa haiwezekani umeme kuwa wireless.
Kuna magar yanatumia umeme, yale hutumia wire kutembea?Mkuu wireless ina make sense zaidi kwa very short distances na power iwe kidogo tuu....ila sidhani kama unaweza transport 400kV kutoka Mtwara mpaka Arusha utaunguza anga zima kwa ionization
Kwanza acha kusafirisha umeme kwa wireless,uhifadhi wa umeme mkubwa wenyewe hamna mtu ameweza mpaka leo...hakuna..yaani kwa lugha nyepesi Tanesco ikizalisha umeme unatakiwa uuzwe wooote siku hiyo hiyo,hakuna pa kuhifadhi umeme,wanazalisha kwa demand..hakuna pa kuuweka unaozidi
Infact solar power ni purely wireless, kutoka kwenye jua hadi nyumbani kwako ni bila wire kabisa!Labda kwa solar, huo upon hata leo. wanakufungia full package unayoweza, unalipa kwa mwezi hadi gharama zao ziishe, usipolipa inakata automatic kwa GPS
kweli kabisa mkuu hilo jambo kwa umeme halipo"imposible"haiwezekani kwa umeme!
mimi nasubiri kugegeda wireless unajilia vyako mtu yupo mwanzaahaya maisha nowdays kila kitu wireless.. nasubiri mtu atayegundua jinsi ya KUDOWNLOAD chakula
Kuna magar yanatumia umeme, yale hutumia wire kutembea?
Treni za umeme nazo vipi?
Magari yanayotumia umeme yanatembea na umeme wake unaotunzwa kwenye batteries ndani ya gari.mbona kuna wireless charger jmn so huenda ndio inakuwa tutarajie makubwa zaid
Unaonaje tukagundua namna ya kuubadilisha umeme unaozalishwa kwenye kituo cha kufua umeme na kuwa 'Intensive Laser light' ambayo tunairusha in a designated straight line ambayo hupokelewa kwenye minara na kuwa transmitted kwenye household ambapo unakuwa converted back into electricity, unaonaje hiyo?Najua vizuri sana minara ya simu inavyofanya kazi, nimesomea haya mambo na nayajua vizuri tu, nishatengeneza kifaa changu cha kutransfer data kutoka computer moja hadi nyingine kwa kutumia sauti, kifaa kingine kwa kutumia mwanga, usifananishe radio waves na electricity mtanzania, hivyo vitu ni tofauti kabisa.
Sijasema umeme wa wireless hauwezekani, nimeandika pale kuna charging solutions sasa hivi, ila hakuna anayeweza rusha umeme wa wireless mita 100 unless amespend billions kutengeneza mashine kubwa mno, kitu ambacho ni very inefficient and costful kulinganisha na waya, ndio maana nikasema kwa sasa wire ni irreplaceable. Apple tu kurusha umeme wa wireless mita 5 hadi leo wanafanya research, kampuni kubwa kama hiyo.
Unaonaje tukagundua namna ya kuubadilisha umeme unaozalishwa kwenye kituo cha kufua umeme na kuwa 'Intensive Laser light' ambayo tunairusha in a designated straight line ambayo hupokelewa kwenye minara na kuwa transmitted kwenye household ambapo unakuwa converted back into electricity, unaonaje hiyo?
Haya, ngoja tusubiri kwenye 2050 hali itakuajeSounds like a good idea ila practically haifanyi kazi, kuna njia nyingi za kutengeneza umeme, hiyo moja wapo ila kwa nini tunatumia njia flani zaidi kuliko nyingine ni kwa sababu ya efficiency na cost, kutengeneza laser itayatoweza kutransmit umeme wa kuweza kuwasha hata pasi ya umeme tu itahitaji billions, distance inavyozidi kuongezeka na efficiency inazidi kupungua maana nguvu inapotea on the way, nadhani unajua kua laser inapoteza intensity distance inavyozidi kuongezeka. Laser ya kurusha umeme wa kutosha hata 1km itakucost zaidi ya mara 1,000,000 ya ambavyo ungetumia tu cable, na maintanance yake ni ngumu. Sasa mtu mwenye akili timamu kwa nini afanye kitu kama hicho?
Labda kutakua na njia nyingine ambazo hatujagundua za kurusha umeme wirelessly distance kubwa ila hadi leo hii hiyo technology hatuna ambayo ni practical.
Picha kwa hisani ya mtandao ikionesha jinsi teknolojia hii inavyofanya kazi🤣 🤣 🤣 🤣 daaaaaaaKama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-b*ka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL.
Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-b*ke yenyewe hadi kufa!