Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,875
- 55,751
Asante ndugu admin, msalimie HRNdugu mteja,
Vizuri sana 👏 , endelea kufurahia huduma zetu.^NI
Asante ndugu admin, msalimie HRNdugu mteja,
Vizuri sana 👏 , endelea kufurahia huduma zetu.^NI
Kwa maana hiyo umbali wa Mita 1 hadi mita 30 ni sh 320960Habari ndugu mteja,
Asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu.
Tunapenda kukufahamisha gharama za kuunganishiwa umeme Ikiwa umbali wa mita 60;
-Mteja wa njia moja ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 515,618/=
-Mteja wa njia tatu ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,249,385/=
Asante.^DK
Thubutu, hawezi fanya hivyoNdugu mteja,
Asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie taarifa zifuatazo kwa msaada zaidi,
Jina kamili
Mkoa
Wilaya
Kata
Mtaa
Mita namba
Namba ya simu
Eneo maarufu karibu na wewe.^NI
Hapana, kwa mita 70 ni kuanzia mita 1 hadi 70. Kwahiyo, unahesabu umbali wa mita kuanzia moja kwa maana ya kuanzia kwenye miundombinu ilipo mpaka sehemu inayohitaji huduma ya kuunganishiwa umeme.Kwa maana hiyo umbali wa Mita 1 hadi mita 30 ni sh 320960
Ikizidi kuanzia Mita 31 hadi mita 70 ni sh 515618
Sindio hivyo?
Au Mimi sjaelewa maeleozo Mzee wa Kazi?
Suala sio umeme kutumika kwa wingi, suala ni gharama za umeme kuwa juu...
Ethiopia Unit moja ni Tshs 16 ya Tanzania...
Hivi unafikiri umeme Tanzania ukifika siku unit moja ikawa hata Tshs 100, kuna mtu atalalama?
Siku mkizalisha umeme wa kutosha, hakutakuwa na haya malalamiko, hivyo shida ipo kwenu...
Habari ndugu mteja,
Kuna PMThubutu, hawezi fanya hivyo
Kwahiyo umeme wa kuunganishwa Kwa nguzo moja ya njia moja Kwa Bei ya sh 320960 isizidi Mita 30Hapana, kwa mita 70 ni kuanzia mita 1 hadi 70. Kwahiyo, unahesabu umbali wa mita kuanzia moja kwa maana ya kuanzia kwenye miundombinu ilipo mpaka sehemu inayohitaji huduma ya kuunganishiwa umeme.
Asante. ^DK
Habari ndugu mteja,Thubutu, hawezi fanya hivyo
Hata PM haendi, atavuta vuta muda aendelee kula umeme wa bureKuna PM
Wape mita nambaTanesco luku imeisha na sina hela naomba msaada.
Kwa nini una haraka! subiri nipewe free mwaka mzimaWape mita namba
Sawa sawaKwa nini una haraka! subiri nipewe free mwaka mzima
Mdau umetisha, wakupe hata wa buku5, we mwaminifu utawalipa tu.Tanesco luku imeisha na sina hela naomba msaada.
Una shida harafu una haraka, vuta subra mheshimiwa MTANESCO achakate ombi lako.Mbaya zaidi mpaka sasa eti TANESCO hajaona comment yangu